Na ni ndugu katika imani pia.Dangote ni Mwanamtandao
Siasa sio shida zakeDangote ni Mwanamtandao
Karibu sana Tanzania Alhaj Aliko Dangote,16 May 2026
Aliko Dangote ampongeza Samia kwa kuchaguliwa 29 Oktoba 2026
View: https://m.youtube.com/watch?v=e-CPQCNBkhoAkiongea mara baada ya kikao chake na rais haramu Samia Hassan ikulu leo 16 May 2026 hakujali mauaji yaliyomfanya Samia kujitawaza kuwa rais
Bilionea huyu tajiri kutoka Nigeria kisha akaelezea mazungumzo ya leo kati ya kampuni yake na serikali haramu ya Samia Hassan bila kujali hisia za raia wa waTanzania waliouawa kabla, wakati na baada ya 29 October 2025
Keshaharibu vibaya sana
16 May 2026
Dar es Salaam, Tanzania
Aliko Dangote congratulates dictator Samia Hassan on being elected on bloody 29 October 2025
View: https://m.youtube.com/watch?v=e-CPQCNBkhoSpeaking immediately after his meeting with illegal president Samia Hassan at the State House today, 16 May 2026, he did not care about the murders that led Samia to become president.
This wealthy Nigerian billionaire then described today's negotiations between his company Dangote Group and the illegal government of Samia Hassan without regard to the feelings of Tanzanian citizens who were killed before, during and after 29 October 2025 bloody election.
Aliko Dangote he went deep into his interest in Oil Refinery explaining about a lot of ststudies that has to be undertaken before deciding the best location for the oil refinery which the team of experts are going to recommend.
Fertiliser Urea Potash to manufacture NPK fertiliser was one are Dangote Group is considering to launch within one year in this East African region
View attachment 3589689
Mkuu Bagamo, Bagamoyo , kwanza mshtue mode kurekebisha the heading, the date is 29 Oktoba 2025 and not 29 Oktoba 2026!.serikali haramu ya Samia Hassan
Hata wewe wakikugawia mlima wa Makaa ya Mawe utashindwa kupongeza? Wanaofaidii nchi ndo wanapongezana16 May 2026
Aliko Dangote ampongeza Samia Hassan kwa kuchaguliwa 29 Oktoba 2025
View: https://m.youtube.com/watch?v=e-CPQCNBkhoAkiongea live mubashara ikulu ya Dar es Salaam mara baada ya kikao chake na rais haramu Samia Hassan ikulu leo 16 May 2026 hakujali mauaji yaliyomfanya Samia kujitawaza kuwa rais
Bilionea huyu tajiri kutoka Nigeria kisha akaelezea mazungumzo ya leo kati ya kampuni yake na serikali haramu ya Samia Hassan bila kujali hisia za raia wa waTanzania waliouawa kabla, wakati na baada ya uchaguzi uliomwaga damu za raia wa Tanzania 29 October 2025
View attachment 3589688
Naona umeandika kinyume.kwanza hauoni hata kavaa islamic, sijawahi kuona picha ya dangote kavaa kanzu na kibarakashehe hata siku moja, siku zote huvaa business suit hata ile talk na ruto alivaa business suit lkn kaja islamic republic kavaa kiarabu hivyo hapo hakuna cha refinery wala nini walimleta kuongea siasa labda atumie influence yake kumtetea huko duniani lkn hakuna business hapo, wameongea khs islam basi.
angalia dangote akiwa bussiness talk na ruto wakiongea serious issues vs tanzagiza kavaa kama anaenda msikitini it tells you a lot, angalia mavazi yake halafu linganisha na tanzagiza …
View attachment 3589708
Nilikuwa n.a. Tani 200 za cement kutoka kwao illa nimeghairiKeshaharibu vibaya sana