Aliko Dangote ampongeza Samia kwa kuchaguliwa 29 Oktoba 2026

Aliko Dangote ampongeza Samia kwa kuchaguliwa 29 Oktoba 2026

16 May 2026

CEO Nathan Kimaro mtanzania amuandikia barua Dangote kwanini Tanga inafaa kwa kiwanda cha mafuta kuliko Mombasa

View: https://m.youtube.com/watch?v=rePUfsJQAlw

Source : Simulizi NaSauti

TOKA MAKTABA :

1779181287495.jpeg

CEO Nathan Kimaro

MFANYABIASHARA MAARUFU ARUSHA CEO NATHAN KIMARO AICHANGIA CCM MILIONI 20 KUFANIKISHA KAMPENI UCHAGUZI MKU

August 13, 2025

Na Mwandishi Wetu

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mfanyabiashara maarufu jijini Arusha, CEO Nathan Kimaro ametoa Sh.milioni 20 kama sehemu ya mchango wake wa kusaidia kampeni za Chama hicho katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.

CEO Kimaro mbali ya kuchangia lakini pia alikuwepo ukumbini hapo jana Agosti 12,2025, kushuhudia ‘LIVE’ hafla hiyo ya Harambee ikiendelea ndani ya ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Harambee hiyo iliongozwa na Mwenyekiti wa Chama Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, ikilenga kukusanya kiasi cha fedha shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

Aidha katika harambee hiyo, Chama dola kongwe cha Mapinduzi (CCM) kilifanikiwa kuchangisha kiasi cha fedha, jumla ya shilingi Bilioni 86.31 zikiwemo na ahadi,ambapo kuchangia huko kutafika tamati Agosti 27,2025 .

kwanza hauoni hata kavaa islamic, sijawahi kuona picha ya dangote kavaa kanzu na kibarakashehe hata siku moja, siku zote huvaa business suit hata ile talk na ruto alivaa business suit lkn kaja islamic republic kavaa kiarabu hivyo hapo hakuna cha refinery wala nini walimleta kuongea siasa labda atumie influence yake kumtetea huko duniani lkn hakuna business hapo, wameongea khs islam basi.

angalia dangote akiwa bussiness talk na ruto wakiongea serious issues vs tanzagiza kavaa kama anaenda msikitini it tells you a lot, angalia mavazi yake halafu linganisha na tanzagiza …
View attachment 3589708
Unatamani kama umpore utajiri wake ukampe mkatoliki mwenzio kama Padri Kitima
 
16 May 2026
Aliko Dangote ampongeza Samia Hassan kwa kuchaguliwa 29 Oktoba 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=e-CPQCNBkho
Akiongea live mubashara ikulu ya Dar es Salaam mara baada ya kikao chake na rais haramu Samia Hassan ikulu leo 16 May 2026 hakujali mauaji yaliyomfanya Samia kujitawaza kuwa rais

Bilionea huyu tajiri kutoka Nigeria kisha akaelezea mazungumzo ya leo kati ya kampuni yake na serikali haramu ya Samia Hassan bila kujali hisia za raia wa waTanzania waliouawa kabla, wakati na baada ya uchaguzi uliomwaga damu za raia wa Tanzania 29 October 2025

View attachment 3589688

Kumbe Dangote nae ni kipofu
 
Hata kama uchaguzi haukua huru na wa haki, na ushindi umepatikana kwa bao la mkono, akiishatangazwa mshindi, tangazo hilo ndio limehitimisha uchaguzi, mshindi anakuwa ni mshindi halali kwa kanuni ya the end justify the means, akiishwa apishwa ni rais halali, hata kama sio rais wa kihaki. PostGE2025 - Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!
P
Haram mantiki yake ni nini? kama wakatoliki wamehalalisha kitimoto kwa kupitia vifungu tatanishi haiwezi kuwafanya waislamu na wasabato pamoja na wana-agano la kale kufumbia macho huo uharam wa kitimoto. Katiba yenye loopholes za kukandamiza haki ni haram pia in the first place. Try to have the guts to call a spade a spade as the way it is, not like a big spoon or something.... just be frank.
 
Ili haramu iwe haramu ni lazima iharimishwe, haramu isipo harimishwa huhesabika ni halali!.

The same applied for batili, ili batili iwe batili ni lazima ibatilishwe!, batili isipobatilishwa ni halali.

Natumia mfano wa zinaa kabla ya ndoa ni haramu, na mimba ikitungwa mtoto akazaliwa anakuwa ni mwanaharamu, ukiamua kumuoa huyo mwanamke kabla mtoto hajazaliwa, mtoto anayezaliwa ndani ya ndoa halali sio mwanaharamu japo mimba imetunga katika uzinifu, huyu mtoto ni mtoto halali, amehalalishwa na ndoa iliyofungwa!.

Uchaguzi wa Tanzania ni Uchaguzi batili, sheria batili, tume batili, na matokeo batili. Ila tangazo la mshindi ni tangazo halali na kumwapisha ni kumuhalalisha, hivyo rais Samia ni Rais halali, ila hakupatikana kwa haki, haki na halali ni vitu viwili tofauti.

Umetupa mwanga mzuri kuelewa suala hili ambalo wafuasi wa chama dola kongwe Tanzania wanajaribu kila namna kujihalalisha
 
Ili haramu iwe haramu ni lazima iharimishwe, haramu isipo harimishwa huhesabika ni halali!.

The same applied for batili, ili batili iwe batili ni lazima ibatilishwe!, batili isipobatilishwa ni halali.

Natumia mfano wa zinaa kabla ya ndoa ni haramu, na mimba ikitungwa mtoto akazaliwa anakuwa ni mwanaharamu, ukiamua kumuoa huyo mwanamke kabla mtoto hajazaliwa, mtoto anayezaliwa ndani ya ndoa halali sio mwanaharamu japo mimba imetunga katika uzinifu, huyu mtoto ni mtoto halali, amehalalishwa na ndoa iliyofungwa!.

Uchaguzi wa Tanzania ni Uchaguzi batili, sheria batili, tume batili, na matokeo batili. Ila tangazo la mshindi ni tangazo halali na kumwapisha ni kumuhalalisha, hivyo rais Samia ni Rais halali, ila hakupatikana kwa haki, haki na halali ni vitu viwili tofauti.
P
Kwa mujibu wako, Haramu isipoharimishwa ni halali, matukio ya tarehe 29 ni ishara tosha ya wananchi kuharimisha zoezi zima la uchaguzi, hata hicho kiapo kilichofuatia kilifanyika katika mazingira tatanishi, kukidhi taratibu ambazo kiuhalisia ni extinct.

Iweje ndoa halali ifanyike mafichoni?
Iweje uchaguzi batili, sheria batili, matokeo batili vizae tangazo na kiapo halal?
Ni bayana kuwa haki na halali ni vitu viwili tofauti, haki imesimama kama msingi wa vingine vyote. Bila haki, mtu huweza kupokwa hata kilicho halali yake.
 
Kwa mujibu wako, Haramu isipoharimishwa ni halali,
Sio kwa mujibu wangu, ni kwa mujibu wa sheria, hili nimelifundisha sana humu, Wajua Kuna Sheria Halali, Batili na Batilifu, Ndoa Halali, Batili na Batilifu, Je Wajua Katiba ya JMT ni Batilifu?. Why Ubatili Huu wa Katiba Yetu?!
Humo nilisema
Kula nyama ya mkuu wa meza ni haramu kwa Waislafu, kula nyama yoyote isiyojinjwa Kiislamu ni haramu kwa Waislamu, ukiondoa nchi zenye sharia law, ikiwemo Uingereza, kuna bucha maalum za halai, lakini ulaya Amerika na kuingine kwingi, Waislamu wanakula ile kitu na kula nyama ambazo zimechinjwa na mashine, kwa vile hawajui ni halali.

Ndoa ikifungwa ili iwe ni ndoa halali, lazima lile tendo la consumation lifanyike, bila lile tendo ni ndoa batili, ili ndoa batili iwe batili ni lazima ibatilishwe, ndoa batili isipobatilishwa inahesabika ni ndoa halali.

Uchaguzi batili, ulioendeshwa na sheria batili ambayo haijabatilishwa, hivyo kuwa ni halali.
Tume ya uchaguzi ni tume batili, haipo kwenye katiba, hivyo INEC batili, imeendesha uchaguzi batili, kutumia sheria batili, kwasababu tume hiyo haijabatilishwa, imekuwa ni tume halali, sheria hii mpya ya uchaguzi, haijabatilishwa, hivyo imekuwa ni sheria halali, na uchaguzi batili ambao haujabatilishwa ni uchaguzi halali, matokeo ni halali, rais ameapishwa kumpa uhalali, hivyo Rasi Samia ni rais halali wa Tanzania.
matukio ya tarehe 29 ni ishara tosha ya wananchi kuharimisha zoezi zima la uchaguzi,
Uchaguzi ni legal process, kuuzuia ni uhalifu, ni criminal ila sio uhaini, waandamanaji kufanyiwa extrajuducial killings sio sawa!.
hata hicho kiapo kilichofuatia kilifanyika katika mazingira tatanishi, kukidhi taratibu ambazo kiuhalisia ni extinct.
Sheria ya viapo inaruhusu kuapa popote!.
Iweje ndoa halali ifanyike mafichoni?
Ndoa halali inaweza kufungiwa popote, hata mafichoni, mradi awepo mfungishaji, wanandoa wawili na mashahidi wawili.
Iweje uchaguzi batili, sheria batili, matokeo batili vizae tangazo na kiapo halal?
Hata kubaka ni jinai, ili jinai ya ubakaji iwe ni jinai, ni lazima aliyebakwa alalalamike, unless ni minor, mtu aliyetimiza umri wa majority, akibakwa, asiporipoti, atahesabika ni ameridhia!.
Ukimbaka mwanamke mgumba, akashika ujauzito, akakupenda kwa kitendo chako cha kumbaka, akaamua kujileta kwao, na mkaanza kuishi kinyumba, mtoto hata kama ametungwa kwa ubakaji, akazaliwa nje ya ndoa, hivyo kuwa mwanaharamu, mkija kuamua kuona, mtoto yule anakuwa halali.
Batili ispobatilishwa inageuka halali!, haramu isipoharimishwa inakuwa ni halali!.
Ni bayana kuwa haki na halali ni vitu viwili tofauti, haki imesimama kama msingi wa vingine vyote. Bila haki, mtu huweza kupokwa hata kilicho halali yake.
Hili ni la msingi sana, na hivi ndivyo Samia alivyo
P
 
16 May 2026
Aliko Dangote ampongeza Samia Hassan kwa kuchaguliwa 29 Oktoba 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=e-CPQCNBkho
Akiongea live mubashara ikulu ya Dar es Salaam mara baada ya kikao chake na rais haramu Samia Hassan ikulu leo 16 May 2026 hakujali mauaji yaliyomfanya Samia kujitawaza kuwa rais

Bilionea huyu tajiri kutoka Nigeria kisha akaelezea mazungumzo ya leo kati ya kampuni yake na serikali haramu ya Samia Hassan bila kujali hisia za raia wa waTanzania waliouawa kabla, wakati na baada ya uchaguzi uliomwaga damu za raia wa Tanzania 29 October 2025

View attachment 3589688

19 May 2026

Inside the Kenya -Tanzania Oil Refinery War

View: https://m.youtube.com/watch?v=KciE3-ul2gE

we break down the intense geopolitical and economic chess match between Kenya and Tanzania. Why did Dangote pivot toward Mombasa? What aggressive counter-strategy is President Samia using to win the project back? And how does Uganda’s EACOP pipeline fit into the final decision? We dive deep into the downstream energy infrastructure, port depths, Special Economic Zone (SEZ) tax incentives, and the ultimate way forward for East Africa’s oil industry.
 
Understanding economic systems and development and Entrepreneurs creating their own opportunities Foreign investment and Africa’s future

View: https://m.youtube.com/watch?v=KSDiHxvU2zk

  • Argument that economic power cannot simply be given
  • Political authority vs. administrative authorit
  • Government’s role in creating opportunities
  • Football stadium analogy for economic ecosystems
  • JFK’s “Ask not” speech and government responsibility
  • Reagan quote about government intervention
  • Government as a referee, not a provider
  • Explanation of four economic systems
  • Final call to rethink politics and economic expectations
  • Closing remarks
Source : Franck Zanu
 
Mkuu Bagamo, Bagamoyo , kwanza mshtue mode kurekebisha the heading, the date is 29 Oktoba 2025 and not 29 Oktoba 2026!.

Tukija kwenye hoja ya bandiko, hata kama uchaguzi haukua huru na wa haki, na ushindi umepatikana kwa bao la mkono, akiishatangazwa mshindi, tangazo hilo ndio limehitimisha uchaguzi, mshindi anakuwa ni mshindi halali kwa kanuni ya the end justify the means!, akiishwa apishwa ni rais halali, hata kama sio rais wa kihaki. PostGE2025 - Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!
P
Mkuu Bagamo, Bagamoyo , mshtue basi mode kuhusu date kwenye heading!.
P
 
Back
Top Bottom