Cha ajabu mlidhani eti Dangote atakubaliana na Rutto amwache Samia ndugu yake.Na ni ndugu katika imani pia.
Unatamani kama umpore utajiri wake ukampe mkatoliki mwenzio kama Padri Kitimakwanza hauoni hata kavaa islamic, sijawahi kuona picha ya dangote kavaa kanzu na kibarakashehe hata siku moja, siku zote huvaa business suit hata ile talk na ruto alivaa business suit lkn kaja islamic republic kavaa kiarabu hivyo hapo hakuna cha refinery wala nini walimleta kuongea siasa labda atumie influence yake kumtetea huko duniani lkn hakuna business hapo, wameongea khs islam basi.
angalia dangote akiwa bussiness talk na ruto wakiongea serious issues vs tanzagiza kavaa kama anaenda msikitini it tells you a lot, angalia mavazi yake halafu linganisha na tanzagiza …
View attachment 3589708
Kumbe Dangote nae ni kipofu16 May 2026
Aliko Dangote ampongeza Samia Hassan kwa kuchaguliwa 29 Oktoba 2025
View: https://m.youtube.com/watch?v=e-CPQCNBkhoAkiongea live mubashara ikulu ya Dar es Salaam mara baada ya kikao chake na rais haramu Samia Hassan ikulu leo 16 May 2026 hakujali mauaji yaliyomfanya Samia kujitawaza kuwa rais
Bilionea huyu tajiri kutoka Nigeria kisha akaelezea mazungumzo ya leo kati ya kampuni yake na serikali haramu ya Samia Hassan bila kujali hisia za raia wa waTanzania waliouawa kabla, wakati na baada ya uchaguzi uliomwaga damu za raia wa Tanzania 29 October 2025
View attachment 3589688
Haram mantiki yake ni nini? kama wakatoliki wamehalalisha kitimoto kwa kupitia vifungu tatanishi haiwezi kuwafanya waislamu na wasabato pamoja na wana-agano la kale kufumbia macho huo uharam wa kitimoto. Katiba yenye loopholes za kukandamiza haki ni haram pia in the first place. Try to have the guts to call a spade a spade as the way it is, not like a big spoon or something.... just be frank.Hata kama uchaguzi haukua huru na wa haki, na ushindi umepatikana kwa bao la mkono, akiishatangazwa mshindi, tangazo hilo ndio limehitimisha uchaguzi, mshindi anakuwa ni mshindi halali kwa kanuni ya the end justify the means, akiishwa apishwa ni rais halali, hata kama sio rais wa kihaki. PostGE2025 - Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!
P
Hujui kituSiasa sio shida zake
... nilijipa likizo kukimbia mashambulizi ya nyuki lakini kila nikiibuka yako palepale! 😅Nilikuwa n.a. Tani 200 za cement kutoka kwao illa nimeghairi
Ili haramu iwe haramu ni lazima iharimishwe, haramu isipo harimishwa huhesabika ni halali!.Haram mantiki yake ni nini? kama wakatoliki wamehalalisha kitimoto kwa kupitia vifungu tatanishi haiwezi kuwafanya waislamu na wasabato pamoja na wana-agano la kale kufumbia macho huo uharam wa kitimoto. Katiba yenye loopholes za kukandamiza haki ni haram pia in the first place. Try to have the guts to call a spade a spade as the way it is, not like a big spoon or something.... just be frank.
Ili haramu iwe haramu ni lazima iharimishwe, haramu isipo harimishwa huhesabika ni halali!.
The same applied for batili, ili batili iwe batili ni lazima ibatilishwe!, batili isipobatilishwa ni halali.
Natumia mfano wa zinaa kabla ya ndoa ni haramu, na mimba ikitungwa mtoto akazaliwa anakuwa ni mwanaharamu, ukiamua kumuoa huyo mwanamke kabla mtoto hajazaliwa, mtoto anayezaliwa ndani ya ndoa halali sio mwanaharamu japo mimba imetunga katika uzinifu, huyu mtoto ni mtoto halali, amehalalishwa na ndoa iliyofungwa!.
Uchaguzi wa Tanzania ni Uchaguzi batili, sheria batili, tume batili, na matokeo batili. Ila tangazo la mshindi ni tangazo halali na kumwapisha ni kumuhalalisha, hivyo rais Samia ni Rais halali, ila hakupatikana kwa haki, haki na halali ni vitu viwili tofauti.
P
Kwa mujibu wako, Haramu isipoharimishwa ni halali, matukio ya tarehe 29 ni ishara tosha ya wananchi kuharimisha zoezi zima la uchaguzi, hata hicho kiapo kilichofuatia kilifanyika katika mazingira tatanishi, kukidhi taratibu ambazo kiuhalisia ni extinct.Ili haramu iwe haramu ni lazima iharimishwe, haramu isipo harimishwa huhesabika ni halali!.
The same applied for batili, ili batili iwe batili ni lazima ibatilishwe!, batili isipobatilishwa ni halali.
Natumia mfano wa zinaa kabla ya ndoa ni haramu, na mimba ikitungwa mtoto akazaliwa anakuwa ni mwanaharamu, ukiamua kumuoa huyo mwanamke kabla mtoto hajazaliwa, mtoto anayezaliwa ndani ya ndoa halali sio mwanaharamu japo mimba imetunga katika uzinifu, huyu mtoto ni mtoto halali, amehalalishwa na ndoa iliyofungwa!.
Uchaguzi wa Tanzania ni Uchaguzi batili, sheria batili, tume batili, na matokeo batili. Ila tangazo la mshindi ni tangazo halali na kumwapisha ni kumuhalalisha, hivyo rais Samia ni Rais halali, ila hakupatikana kwa haki, haki na halali ni vitu viwili tofauti.
P
Astaghfirullah19 May 2026
GPS: Billionaire Dangote meets President Samia at the Dar State House! Tanga project looking like...
View: https://m.youtube.com/watch?v=1Q8fBtcX37M
Sio kwa mujibu wangu, ni kwa mujibu wa sheria, hili nimelifundisha sana humu, Wajua Kuna Sheria Halali, Batili na Batilifu, Ndoa Halali, Batili na Batilifu, Je Wajua Katiba ya JMT ni Batilifu?. Why Ubatili Huu wa Katiba Yetu?!Kwa mujibu wako, Haramu isipoharimishwa ni halali,
Uchaguzi ni legal process, kuuzuia ni uhalifu, ni criminal ila sio uhaini, waandamanaji kufanyiwa extrajuducial killings sio sawa!.matukio ya tarehe 29 ni ishara tosha ya wananchi kuharimisha zoezi zima la uchaguzi,
Sheria ya viapo inaruhusu kuapa popote!.hata hicho kiapo kilichofuatia kilifanyika katika mazingira tatanishi, kukidhi taratibu ambazo kiuhalisia ni extinct.
Ndoa halali inaweza kufungiwa popote, hata mafichoni, mradi awepo mfungishaji, wanandoa wawili na mashahidi wawili.Iweje ndoa halali ifanyike mafichoni?
Hata kubaka ni jinai, ili jinai ya ubakaji iwe ni jinai, ni lazima aliyebakwa alalalamike, unless ni minor, mtu aliyetimiza umri wa majority, akibakwa, asiporipoti, atahesabika ni ameridhia!.Iweje uchaguzi batili, sheria batili, matokeo batili vizae tangazo na kiapo halal?
Hili ni la msingi sana, na hivi ndivyo Samia alivyoNi bayana kuwa haki na halali ni vitu viwili tofauti, haki imesimama kama msingi wa vingine vyote. Bila haki, mtu huweza kupokwa hata kilicho halali yake.
16 May 2026
Aliko Dangote ampongeza Samia Hassan kwa kuchaguliwa 29 Oktoba 2025
View: https://m.youtube.com/watch?v=e-CPQCNBkhoAkiongea live mubashara ikulu ya Dar es Salaam mara baada ya kikao chake na rais haramu Samia Hassan ikulu leo 16 May 2026 hakujali mauaji yaliyomfanya Samia kujitawaza kuwa rais
Bilionea huyu tajiri kutoka Nigeria kisha akaelezea mazungumzo ya leo kati ya kampuni yake na serikali haramu ya Samia Hassan bila kujali hisia za raia wa waTanzania waliouawa kabla, wakati na baada ya uchaguzi uliomwaga damu za raia wa Tanzania 29 October 2025
View attachment 3589688
19 May 2026
Inside the Kenya -Tanzania Oil Refinery War
View: https://m.youtube.com/watch?v=KciE3-ul2gE
we break down the intense geopolitical and economic chess match between Kenya and Tanzania. Why did Dangote pivot toward Mombasa? What aggressive counter-strategy is President Samia using to win the project back? And how does Uganda’s EACOP pipeline fit into the final decision? We dive deep into the downstream energy infrastructure, port depths, Special Economic Zone (SEZ) tax incentives, and the ultimate way forward for East Africa’s oil industry.
Mkuu Bagamo, Bagamoyo , mshtue basi mode kuhusu date kwenye heading!.Mkuu Bagamo, Bagamoyo , kwanza mshtue mode kurekebisha the heading, the date is 29 Oktoba 2025 and not 29 Oktoba 2026!.
Tukija kwenye hoja ya bandiko, hata kama uchaguzi haukua huru na wa haki, na ushindi umepatikana kwa bao la mkono, akiishatangazwa mshindi, tangazo hilo ndio limehitimisha uchaguzi, mshindi anakuwa ni mshindi halali kwa kanuni ya the end justify the means!, akiishwa apishwa ni rais halali, hata kama sio rais wa kihaki. PostGE2025 - Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!
P