Tunavyoongea muda huu Ibada ya kuwaombea wauaji inaendelea Kanisani, muda ukifika mtamuelewa GWAJIMA ni mtu wa namna gani!!Kanisa halijafungiwa, zile ni FAKE NEWS, hata ule Uzi Mods wameshapita nao, kama unabisha utafute. Barua gani inaandika IJP badala ya IGP!?, na haina sahihi yoyote!?
Kama fake news basi angalau kidogo niseme sasa hii ishakuwa mbayaKanisa halijafungiwa, zile ni FAKE NEWS, hata ule Uzi Mods wameshapita nao, kama unabisha utafute. Barua gani inaandika IJP badala ya IGP!?, na haina sahihi yoyote!?
Kanisa halijafungiwa, zile ni FAKE NEWS, hata ule Uzi Mods wameshapita nao, kama unabisha utafute. Barua gani inaandika IJP badala ya IGP!?, na haina sahihi yoyote!?
Hii Habari sidhani km ni ya Kweli ht hapa huo Uzi naona umeondolewaKichwa. Cha habar chatosha
Kanisa linawachungaji na waumini nje ya Gwaji mfumo upambane na Gwaji sio kanisa
Nashangaa mi Niko live hapa Leo Gwajima kaanza mfungo wajaribu waone majibu kama wataamkakuna mapumbavu yameandika upupu. Ufufuo na uzima ni familia kubwa. Kujaribu Kuifungia ni kujiingiza shimoni mazima. wajaribu waone. Yuko Mungu wa Israeli asiyeshindwa.
Kosa la Father Kitima ni lipiKichwa. Cha habar chatosha
Kanisa linawachungaji na waumini nje ya Gwaji mfumo upambane na Gwaji sio kanisa
Kitima hamiliki kanisa..!!!Kichwa. Cha habar chatosha
Kanisa linawachungaji na waumini nje ya Gwaji mfumo upambane na Gwaji sio kanisa
Jmn jana alitangaza Leo kuanza mfungo rasmi Tena ye ndo ataongoza maombi ,SS wafunge tu watapata majibu ya mfungoKama fake news basi angalau kidogo niseme sasa hii ishakuwa mbaya
unajua vita iliyoko ni ufalme wa Giza dhidi ya ufalme wa Mungu. watu wanadhani ni siasa tu. Ukweli ni kuwa ni zaidi ya hapo.Nashangaa mi Niko live hapa Leo Gwajima kaanza mfungo wajaribu waone majibu kama wataamka
Gwaji ndio alifanya strategic mistake, amezoea kutumia madhabahu yake hovyo, angetulia jpili ipite kisha leo akaitisha press conference, never catch a falling knifeKichwa. Cha habar chatosha
Kanisa linawachungaji na waumini nje ya Gwaji mfumo upambane na Gwaji sio kanisa
Ndo utajua SS kuwa yalianzia huko lkn Mungu ana mpango nayoKitima hamiliki kanisa..!!!
Hayo makanisa yenu yaliyoanzia kwenye madarasa na vijumba vya mabati, yanamilikiwa na watu binafsi. Ni sawa tu na anayemiliki kituo cha mafuta.
Hajafanya mistake yyt Yuko sahihiGwaji ndio alifanya strategic mistake, amezoea kutumia madhabahu yake hovyo, angetulia jpili ipite kisha leo akaitisha press conference, never catch a falling knife
SS hawa SI hawaelewi wanafikiri bness as usual ,siasa , upuuzi mtupu!hata wale wa giza wanaelewa hii Ngoma sio ya kitoto...unajua vita iliyoko ni ufalme wa Giza dhidi ya ufalme wa Mungu. watu wanadhani ni siasa tu. Ukweli ni kuwa ni zaidi ya hapo.