Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
Ni fake sema bongo jau sana, yani fake document inasambazwa hatari.Mbaya zaidi kuna mpaka online media wameshare hiyo document.Jmn jana alitangaza Leo kuanza mfungo rasmi Tena ye ndo ataongoza maombi ,SS wafunge tu watapata majibu ya mfungo
Unashindana na mtu mwenye makanisa zaidi ya elf 2 ,Kila mkoa,wilaya china,ulaya😅
Sema government inapwaya sana yani document ina mpaka ngao ya taifa(kitu ambacho kwa haraka kinaweza kufanya hiyo fake document kuwa valid bila kujali content au signature)