Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
Ni fake sema bongo jau sana, yani fake document inasambazwa hatari.Mbaya zaidi kuna mpaka online media wameshare hiyo document.Jmn jana alitangaza Leo kuanza mfungo rasmi Tena ye ndo ataongoza maombi ,SS wafunge tu watapata majibu ya mfungo
Unashindana na mtu mwenye makanisa zaidi ya elf 2 ,Kila mkoa,wilaya china,ulaya😅
Na hapa Moderator nao wameacha tuNi fake sema bongo jau sana, yani fake document inasambazwa hatari.Mbaya zaidi kuna mpaka online media wameshare hiyo document.
Sema government inapwaya sana yani document ina mpaka ngao ya taifa(kitu ambacho kwa haraka kinaweza kufanya hiyo fake document kuwa valid bila kujali content au signature)
Kazi kweli kweli, nimeona kwenye page ya x ya EastAfrica radio kama sio tv wamepost hii kitu.Na hapa Moderator nao wameacha tu
Ila uzuri Gwajima ataanza na aliyechapisha na kusambaza kazi anayo
Unapigwa rohoni majibu tunaoata mwilini
Wamuulize bashite Kwann sshv Yuko kimya
Vita haina machoKichwa. Cha habar chatosha
Kanisa linawachungaji na waumini nje ya Gwaji mfumo upambane na Gwaji sio kanisa
Sijui kama wataisoma comment yakoKichwa. Cha habar chatosha
Kanisa linawachungaji na waumini nje ya Gwaji mfumo upambane na Gwaji sio kanisa
Mi Sina wasiwasi ,SI wanetanfaza vita mbona rahisi tu Mungu SS aliufanya moyo wa farao kuwa mgumu ili ajitwalie utukufuKazi kweli kweli, nimeona kwenye page ya x ya EastAfrica radio kama sio tv wamepost hii kitu.
Sema kuna kitu hakipo sawa hapa Tanzania(ni kama discipline hakuna tena,kuna siku mtu ataleta habari yenye mikanganyiko kama hii na itakuwa ndio mwisho wa utulivu kwenye hili taifa)
MmhNi fake sema bongo jau sana, yani fake document inasambazwa hatari.Mbaya zaidi kuna mpaka online media wameshare hiyo document.
Sema government inapwaya sana yani document ina mpaka ngao ya taifa(kitu ambacho kwa haraka kinaweza kufanya hiyo fake document kuwa valid bila kujali content au signature)
Angalia hii akili ya kipumbavu..Kichwa. Cha habar chatosha
Kanisa linawachungaji na waumini nje ya Gwaji mfumo upambane na Gwaji sio kanisa
Basi tuendelee na Sala popote tulipo
View: https://www.youtube.com/live/g10-9yfylls?si=YrAlV9ntcajnhN-A
Yuko live kasema ni uongo
Tunaendelea na maombi
Ingia hapo sshv anaanza kuacha makomboraBasi tuendelee na Sala popote tulipo