Alikubali tuanzishe mahusiano wakati ashatolewa mahari na harusi inasubiri kupangiwa tarehe

Hauna baya Tajiri Sina BAYA
 
Una bahati mbaya, hupewi mbususu
 
Nadhan hakuiona,

huyu maskini jeuri tumetoka naye mbali sana aliwahi kula mdada mwenye mashetani tu, baada ya hapo anaishia kuziona tuπŸ˜…πŸ˜…
Mkuu futa kwanza hiyo sehemu imeandikwa masikini, umasikini ni laana, unajeuri gani ya kumvisha tajiri vazi la laana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…