Alikubali tuanzishe mahusiano wakati ashatolewa mahari na harusi inasubiri kupangiwa tarehe

shusha mzigo
 
"Badala ya kumumunya kilikuwa kinatafuna halafu kina....." hivi vimadogo vinakeraga yani hatakama unakipenda lazima utakichukia tu. Enewei, hauna baya tajiri!!!
🀣🀣🀣 mkuu acha tu, halafu dukani ni hatua kadhaa lakini chenyewe chapu kimerudi.
 
Tajiri mwenyewe, baba G, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huna baya. Shusha vitu mkuu. Naamini hii sio kinyonge kama ustadhi hassan πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Baba G tena
πŸ™„πŸ™„πŸ™„ tajiri usifuate ushauri mbaya, we tupe burudani burebure, hela si ulisema una deal na davido? πŸ˜‚πŸ˜‚ usiwe na baya tajiri
No naweza kuwa namsimulia mtu mwenyewe anaandika na kujipatia kipato.
Mimi siwezi tegemea kulipwa hela na watu ambao nawazidi kipato.
 
stori nzuri, maskini jeuri wa jf
πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu nakuchukia sana, wewe ndio ulianzisha zogoro nikamkosa ephen_ hata hivyo hapa majuzi nimeanza misheni nyingine ya kukamata mrembo ameibuka mwingine mwenye Id kama yako anajiita Mume mwenza na yeye ameviruga utaratibu wangu.
Nimewakosea nini lakini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…