Alikuwa anakuja hapa ofisini tunapiga story Leo simuoni nahuzunika

Bora alivokata mguu kaka. Atakufirisi. Achana nae
Mimba huwa na kisirani si ajabu akaja tena afanye kama
Alianza kujakama siku mbili hivi na nilianza kumzoea,Jana nilimuwekea vocha,akaingia ofisini akaniomba nimchikue video.Nilimwambia ana mimba maana alikuwa anatematema mate,Leo simuoni najisikia vibaya.
Mimba huwa ina kisirani sana si ajabu kesho akajileta mwenyewe we cha kufanya mkaushie usimtafute wala usimwombe msamaha
 
Tatizo nilikuwa nikimuona najihisi kumpenda hafu chini yaani nasisimkwa.tatizo hata hajasema anakaa wapi.nisipomuona Leo itabidi nizoee tu
Ndio walivyo. Next akija utasikia kodi haijatimia anataka kufukuzwa na mwenye Nyumba, nywele zimefumuka, viccoba wanamdai, simu yake screen imepasuka, mama yake kijijini anaumwa,,,,
 
Itabidi nijisahaulishe ingawa ni ngumu .Mpaka sasa hajatokea,au hakuwa mtu
 
Kwa hyo kila bint akija dukan kwako unataka umjue hadi anapoishi?...hilo duka nakuhesabia miezi hutakuwa nalo zaid ya hizo shelf
 
haPana kaka,ni huyo
Mimba huwa na kisirani si ajabu akaja tena afanye kama

Mimba huwa ina kisirani sana si ajabu kesho akajileta mwenyewe we cha kufanya mkaushie usimtafute wala usimwombe msamaha
Siwez kumtafuta kwakuwa sina namna ya kumtafuta na msamaha siwezi kumuomba kwani hajasema kam nilimkosea
 
Jana aliingia ndani hadi akaniomba nimchikue video sijui alitaka kupost wapi.Mpaka saa hizu simuoni
 
Back
Top Bottom