Namche Bazar
Senior Member
- Apr 8, 2019
- 183
- 303
Ni mke wangu huyo..
Nikupe namba yake?
Nikupe namba yake?
Bro umezama Kwa mama kijacho😂😂😂😂Ni duka tu kaka,Jana nilimwambia ana mimba sijui ndi alikasirika maana tulikubaliana anarudi na alinunua maji nikamwambia ayaache nimuwekee kwenye friji akakataa.Tatizo hata jina hakuniambia na anakaa kwanani hakusema.najihisi mkiwa
Jasusi langu