balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,841
- 15,673
Ni duka tu kaka,Jana nilimwambia ana mimba sijui ndi alikasirika maana tulikubaliana anarudi na alinunua maji nikamwambia ayaache nimuwekee kwenye friji akakataa.Tatizo hata jina hakuniambia na anakaa kwanani hakusema.najihisi mkiwaOfisi yenu inajishughulisha na nini?
Bora alivokata mguu kaka. Atakufirisi. Achana naeNi duka tu kaka,Jana nilimwambia ana mimba sijui ndi alikasirika maana tulikubaliana anarudi na alinunua maji nikamwambia ayaache nimuwekee kwenye friji akakataa.Tatizo hata jina hakuniambia na anakaa kwanani hakusema.najihisi mkiwa
Tatizo nilikuwa nikimuona najihisi kumpenda hafu chini yaani nasisimkwa.tatizo hata hajasema anakaa wapi.nisipomuona Leo itabidi nizoee tuBora alivokata mguu kaka. Atakufirisi. Achana nae
Mimba huwa na kisirani si ajabu akaja tena afanye kamaBora alivokata mguu kaka. Atakufirisi. Achana nae
Mimba huwa ina kisirani sana si ajabu kesho akajileta mwenyewe we cha kufanya mkaushie usimtafute wala usimwombe msamahaAlianza kujakama siku mbili hivi na nilianza kumzoea,Jana nilimuwekea vocha,akaingia ofisini akaniomba nimchikue video.Nilimwambia ana mimba maana alikuwa anatematema mate,Leo simuoni najisikia vibaya.
Ndio walivyo. Next akija utasikia kodi haijatimia anataka kufukuzwa na mwenye Nyumba, nywele zimefumuka, viccoba wanamdai, simu yake screen imepasuka, mama yake kijijini anaumwa,,,,Tatizo nilikuwa nikimuona najihisi kumpenda hafu chini yaani nasisimkwa.tatizo hata hajasema anakaa wapi.nisipomuona Leo itabidi nizoee tu
Itabidi nijisahaulishe ingawa ni ngumu .Mpaka sasa hajatokea,au hakuwa mtuNdio walivyo. Next akija utasikia kodi haijatimia anataka kufukuzwa na mwenye Nyumba, nywele zimefumuka, viccoba wanamdai, simu yake screen imepasuka, mama yake kijijini anaumwa,,,,
Wewe nadhani biashara umeanza hivi karibuni.Itabidi nijisahaulishe ingawa ni ngumu .Mpaka sasa hajatokea,au hakuwa mtu
haPana kaka,ni huyo tuKwa hyo kila bint akija dukan kwako unataka umjue hadi anapoishi?...hilo duka nakuhesabia miezi hutakuwa nalo zaid ya hizo shelf
haPana kaka,ni huyoKwa hyo kila bint akija dukan kwako unataka umjue hadi anapoishi?...hilo duka nakuhesabia miezi hutakuwa nalo zaid ya hizo shelf
Siwez kumtafuta kwakuwa sina namna ya kumtafuta na msamaha siwezi kumuomba kwani hajasema kam nilimkoseaMimba huwa na kisirani si ajabu akaja tena afanye kama
Mimba huwa ina kisirani sana si ajabu kesho akajileta mwenyewe we cha kufanya mkaushie usimtafute wala usimwombe msamaha
Mimi siyo kijana,ni mtu mzimaUkisikia vijana wa hovyo ndio hawa.
Mimi siyo kijana,ni mtu mUkisikia vijana wa hovyo ndio hawa.
Atakuwa alikasirika nilivuomwambia ana mimba,ila alikuwa anatematema mateMimi siyo kijana,ni mtu mzima
πππOfisi yenu inajishughulisha na nini?
Ukiona manyonyo ..!?