Alikuwa anakuja hapa ofisini tunapiga story Leo simuoni nahuzunika

Ni duka tu kaka,Jana nilimwambia ana mimba sijui ndi alikasirika maana tulikubaliana anarudi na alinunua maji nikamwambia ayaache nimuwekee kwenye friji akakataa.Tatizo hata jina hakuniambia na anakaa kwanani hakusema.najihisi mkiwa
Bro umezama Kwa mama kijachoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…