Alikuwa ananikwepa kabla hajazaa, sasa ana mapacha anataka nimuoe!

Alikuwa ananikwepa kabla hajazaa, sasa ana mapacha anataka nimuoe!

Miaka ya 2010-2012 kuna mtaa nilikua naishi. Ilikua karibu na chuo kilichopo katika makao makuu ya nchi. Kuna siku nilikua katika misele yangu njiani nikakutana na binti pisi kali haswa alinivutia saana. Alikua mdogo mdogo hivi, shape imejitenga, tumbo flat na vichuchu saa sita. Nikajiposition vizuri nikaanza kumfukuzia.

Katika story za hapa na pale nikamuomba namba akagoma. Jibu lake ni kwamba hakua na simu, na hapendi mawasiliano na wanaume. Mkononi alishika kasimu katochi lakini akasisitiza sio yake na hawezi kunipa namba. Kwakua nilikua na nia ya kua nae kimapenzi na njia pakee ili nikamilishe lengo langu ni kua na namba yake, ikabidi nimbembeleze sana anisubiri nikimbie dukani ninunue kalamu japo nimuandikie namba yangu ili akipata simu anitafute. Akakubali huku akisisitiza nifanye haraka sana. Kweli nikamuandikia namba yangu akasepa zake.

Hakuwahi kunitafuta tena. Ikawa kila nikikutana nae njiani, ananikwepa. Akipita sehem akijua nipo anajipitisha haraka haraka kwa makusudi ili nisimuite. Nikakata tamaa nikaamua kumpotezea tu mazima na kuendelea na mishe zangu. Baada ya miezi kadhaa nikaskia kuna dogo mkaanga chipsi pale mtaani anamega. Niliumia sana.

Sasa imepita miaka nane tangu nihame ile mitaa na nilishamsahau kabisa. Juzi usiku nipo kwangu nashangaa namba ngeni inanibipu. Nikapiga upande wa pili nikaskia sauti ya kike anauliza, "Wewe ndio Vocal Fremitus". Nikajibu ndio una shida gani? Akajitambulisha lkn sikua namkumbuka. Baadae akanitext, kumbukumbu ikanijia. Ananiambia amenimiss, anatamani tuonane. Kifupi anataka niwe mpenzi wake na amejaa mazima anataka nimuoe tena bila ya mahari. Kwasasa ana watoto wawili mapacha. Wana miaka minne. Anadai mzazi mwenzake haeleweki na ameitelekeza familia.

Namuonea huruma. Nimemuambia it's too late lakini anakomaa tu. Hakati tamaa. Anapiga simu mara 20 sipokei. Nimeblock namba. Anatumia namba ngeni kunipigia, nikianza kuskia sauti yake nambock!!!

Demu kakukataa msomi Kam wew ,kaend kuwekw mimba na mhuni aisee🤣🤣🤣
 
Demu kakukataa msomi Kam wew ,kaend kuwekw mimba na mhuni aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilijaribu kumtega kumuuliza kwann kipindi kile kabla hajapigwa mimba alinikataa. Akadai tu utoto hakua anajitambua na alikua anadanganywa na wenzake. Sasa hivi anataka nimpe second chance tufanye maisha.
 
ahh hiyo hiyo 92 inatosha alaf sio ukatili ni kua mkweli na maisha mtu akiringa sana na ww mkomoe maana hata ukimttendea wema ndo anakudharau
Hapa nawaza nikirudisha majeshi, nikaanza kuishi nae lazma yule mzazi mwezake animegee.. Nimeona nimpotezee tu mazima bila kumgonga nisije nikanogewa
 
Nilijaribu kumtega kumuuliza kwann kipindi kile kabla hajapigwa mimba alinikataa. Akadai tu utoto hakua anajitambua na alikua anadanganywa na wenzake. Sasa hivi anataka nimpe second chance tufanye maisha.
Ni huzun ,anaonekan anakutega kiaina kiongozi ,usimpe huruma yako anakuja kwako coz ya shida zake kakimbiwa sio kwamb anakupenda muulize atakupa nn cha ajabu ambacho wew huna!!?"
 
f7f3f55e1c766e6347b811f3b43a6a08.png

Ishi na hii kauli
 
Back
Top Bottom