Alikuwa ananikwepa kabla hajazaa, sasa ana mapacha anataka nimuoe!

Alikuwa ananikwepa kabla hajazaa, sasa ana mapacha anataka nimuoe!

Nilijaribu kumtega kumuuliza kwann kipindi kile kabla hajapigwa mimba alinikataa. Akadai tu utoto hakua anajitambua na alikua anadanganywa na wenzake. Sasa hivi anataka nimpe second chance tufanye maisha.
Alpha fucks, beta bucks- Rollo tomassi in rational male, Ukielewa maana ya huo msemo, utaelewa kwanini Huyo demu alikukataa kipindi kile, na sahivi kakukubali Vocal Fremitus
 
Kwani ukitongoza lazima ukubaliwe? Huenda alikua ana mpenzi wake hakutaka mambo mengi...🚮
Shida sio wewe kunikataa, kunikataa ni haki yako, ila kwanini leo Nikikutongoza unikatae, hlf mwaka kesho unishobokee kimapenzi eti unanitaka, nimebadilika nini? Huyo mdada Si angetafuta wanaume wengine tofauti na mtoa mada? Mrs Lissu
 
Sio lazima ukubaliwe
Sasa mbona anarudi kumtafuta aliyemkataa si aendelee na mpenzi wake

Maana yeye ndiyo ameanza kumtafuta jamaa after 8years

Mkipigwa chini huko ndiyo anatusumbua
Pumbavu kabsaaa
Kwakweli hii imenishangaza saaana. Ni kama vile ameniona mimi ni chaguo lake la mwisho kabisa
 
Nilichokuja kugundua wanawake wanakariri namba hata ikitokea ukimuacha au akikuacha nikiunganisha hicho kisa chako na kisa changu na baadhi ya wadau kwasababu mtu anakucha miaka minne au mitano ila unashangaa siku umeshasahau kabisa anakupigia simu amekumis wanawake kweli hawajui ku move on hasa yakiwakuta mazito huko walipo tarajia kupata fiedausi
Sasa mimi kinachonishangaza imekuaje miaka yote ile alikua ananikwepa na hakunitafuta kama kweli anadai ana mapenz na mimi. Hayo mapenz yametokea wapi? Usikute karatasi aliitupa, katika kufanya usafi ndani ndio kaiona akaona ngoja nimcheki huyu boya
 
Shida sio wewe kunikataa, kunikataa ni haki yako, ila kwanini leo Nikikutongoza unikatae, hlf mwaka kesho unishobokee kimapenzi eti unanitaka, nimebadilika nini? Huyo mdada Si angetafuta wanaume wengine tofauti na mtoa mada? Mrs Lissu
Ndio hapo najiuliza kipi kimembadilisha mpaka anikubali kipindi hiki na sio wakati ule? Kama alikua na mpenzi si aendelee nae tu! Nimetafsiri kama amenidharau na kuniona mm ni option yake ya mwisho kwa vile ana mzigo wa kulea watoto sasa
 
Back
Top Bottom