Alikuwa ananikwepa kabla hajazaa, sasa ana mapacha anataka nimuoe!

Vocal Fremitus mpotezee kama alivyokupotezea wewe enzi zile. Mchane laiv kuwa ulikuwa na mapenzi nae kipindi hajazaa.

Halafu mwambie huwa hauzini na wake ,a watu, mwiko kwako
 
Nakiri alinizidi ujanja aisee. Maana pisi ilikua inaniona kama takataka vile. Popote anaponiona alikua ananikimbia.
Kuna kabinti kamoja ka sekondari, nilikaonesha ishara ya kukatongoza, nako kalinikimbia, sijui hakanitaki, hahaa usikute na hako kademu chako kipindi hicho ulikafata alikuwa sekondari Vocal Fremitus
 
Miaka ya 2010-2012 kuna mtaa nilikua naishi. Ilikua karibu na chuo kilichopo katika makao makuu ya nchi. Kuna siku nilikua katika misele yangu njiani nikakutana na binti pisi kali haswa alinivutia sana. Alikua mdogo mdogo hivi, shape imejitenga, tumbo flat na vichuchu saa sita. Nikajiposition vizuri nikaanza kumfukuzia.

Katika stori za hapa na pale nikamuomba namba akagoma. Jibu lake ni kwamba hakua na simu, na hapendi mawasiliano na wanaume. Mkononi alishika kasimu katochi lakini akasisitiza siyo yake na hawezi kunipa namba. Kwakuwa nilikua na nia ya kuwa naye kimapenzi na njia pakee ili nikamilishe lengo langu ni kuwa na namba yake, ikabidi nimbembeleze sana anisubiri nikimbie dukani ninunue kalamu japo nimuandikie namba yangu ili akipata simu anitafute. Akakubali huku akisisitiza nifanye haraka sana. Kweli nikamuandikia namba yangu akasepa zake.

Hakuwahi kunitafuta tena. Ikawa kila nikikutana naye njiani, ananikwepa. Akipita sehem akijua nipo anajipitisha haraka haraka kwa makusudi ili nisimuite. Nikakata tamaa nikaamua kumpotezea tu mazima na kuendelea na mishe zangu. Baada ya miezi kadhaa nikaskia kuna dogo mkaanga chipsi pale mtaani anamega. Niliumia sana.

Sasa imepita miaka nane tangu nihame ile mitaa na nilishamsahau kabisa. Juzi usiku nipo kwangu nashangaa namba ngeni inanibipu. Nikapiga upande wa pili nikasikia sauti ya kike anauliza, "Wewe ndiyo Vocal Fremitus". Nikajibu ndiyo una shida gani? Akajitambulisha lakini sikuwa namkumbuka.

Baadae akanitext, kumbukumbu ikanijia. Ananiambia amenikumbuka, anatamani tuonane. Kifupi anataka niwe mpenzi wake na amejaa mazima anataka nimuoe tena bila ya mahari. Kwasasa ana watoto wawili mapacha wana miaka minne. Anadai mzazi mwenzake haeleweki na ameitelekeza familia.

Namuonea huruma. Nimemuambia emashachelewa lakini anakomaa tu. hakati tamaa. Anapiga simu mara 20 sipokei. Nimeblock namba. Anatumia namba ngeni kunipigia, nikianza kuskia sauti yake nambock!

Duuuh, hawa viumbe huwa wanajuta sana Ukingoni
 
Wanawake labda huenda ni kwa kutokutufahamu sisi wanaume, Sisi hatupendi kuwa second option baada ya wao kufeli huko hasahasa kuzalishwa, ni kama dharau bora wake want move on mazima
 
Miaka ya 2010-2012 kuna mtaa nilikua naishi. Ilikua karibu na chuo kilichopo katika makao makuu ya nchi. Kuna siku nilikua katika misele yangu njiani nikakutana na binti pisi kali haswa alinivutia sana. Alikua mdogo mdogo hivi, shape imejitenga, tumbo flat na vichuchu saa sita. Nikajiposition vizuri nikaanza kumfukuzia.

Katika stori za hapa na pale nikamuomba namba akagoma. Jibu lake ni kwamba hakua na simu, na hapendi mawasiliano na wanaume. Mkononi alishika kasimu katochi lakini akasisitiza siyo yake na hawezi kunipa namba. Kwakuwa nilikua na nia ya kuwa naye kimapenzi na njia pakee ili nikamilishe lengo langu ni kuwa na namba yake, ikabidi nimbembeleze sana anisubiri nikimbie dukani ninunue kalamu japo nimuandikie namba yangu ili akipata simu anitafute. Akakubali huku akisisitiza nifanye haraka sana. Kweli nikamuandikia namba yangu akasepa zake.

Hakuwahi kunitafuta tena. Ikawa kila nikikutana naye njiani, ananikwepa. Akipita sehem akijua nipo anajipitisha haraka haraka kwa makusudi ili nisimuite. Nikakata tamaa nikaamua kumpotezea tu mazima na kuendelea na mishe zangu. Baada ya miezi kadhaa nikaskia kuna dogo mkaanga chipsi pale mtaani anamega. Niliumia sana.

Sasa imepita miaka nane tangu nihame ile mitaa na nilishamsahau kabisa. Juzi usiku nipo kwangu nashangaa namba ngeni inanibipu. Nikapiga upande wa pili nikasikia sauti ya kike anauliza, "Wewe ndiyo Vocal Fremitus". Nikajibu ndiyo una shida gani? Akajitambulisha lakini sikuwa namkumbuka.

Baadae akanitext, kumbukumbu ikanijia. Ananiambia amenikumbuka, anatamani tuonane. Kifupi anataka niwe mpenzi wake na amejaa mazima anataka nimuoe tena bila ya mahari. Kwasasa ana watoto wawili mapacha wana miaka minne. Anadai mzazi mwenzake haeleweki na ameitelekeza familia.

Namuonea huruma. Nimemuambia emashachelewa lakini anakomaa tu. hakati tamaa. Anapiga simu mara 20 sipokei. Nimeblock namba. Anatumia namba ngeni kunipigia, nikianza kuskia sauti yake nambock!

Kamle tu ili uingie katika orodha yke
 
Namuonea huruma. Nimemuambia emashachelewa lakini anakomaa tu. hakati tamaa. Anapiga simu mara 20
Umekuwa wewe ndiye jalala Sasa baada ya kuwa amekosa usajili eapl league ndio anaona aje kwako ligi ya mchangani. Ila mademu bana hawawezagi kutenganisha white and black. Wakati akiwa hot akiwa anaitwa kila kona huwa anavimba mno kichwa ujue
 
Back
Top Bottom