ngome1838
JF-Expert Member
- Feb 20, 2019
- 2,027
- 2,490
Wanawahonga yaani au?Kwasababu ni wajasiriamali pesa wanayo muda wote yanu elfu kumi kumi hazi wakosi
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawahonga yaani au?Kwasababu ni wajasiriamali pesa wanayo muda wote yanu elfu kumi kumi hazi wakosi
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Ndiyo maana yake sasa wewe ulikuwa maneno matupu wakati mwenzako muuza chips anatoa chips kuku soseji na soda na pesa za vocha ana tuma" sasa wewe ulitaka kuingia kwa nguvu.Wanawahonga yaani au?
Wenzako tunayakimbia matatizo, wewe unayakimbiliaMkuu Vocal Fremitus wakati unamblock huyo dada emb fanya kunitumia namba zake nikasemezane naye.
Huenda nikamnusuru, hata hivyo dini inaruhusu.
Kitu ambacho yule binti hakujua, kipindi kile nilikua na pesa nyingi za kuhonga honga maana sikua na majukumu. Lakini hakunipa hata chance ya kua nae karibu alikua ananikwepa sana. Akaishia kwenda kwa mkaanga chipsiNdiyo maana yake sasa wewe ulikuwa maneno matupu wakati mwenzako muuza chips anatoa chips kuku soseji na soda na pesa za vocha ana tuma" sasa wewe ulitaka kuingia kwa nguvu.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu nimemkaushia apambane na hali yake tuMpelekee moto
Tatizo wanaweweseka na mabishoo wa kuuza nao sura halafu wenye nia za kuoa wanatupotezeaUmekuwa wewe ndiye jalala Sasa baada ya kuwa amekosa usajili eapl league ndio anaona aje kwako ligi ya mchangani. Ila mademu bana hawawezagi kutenganisha white and black. Wakati akiwa hot akiwa anaitwa kila kona huwa anavimba mno kichwa ujue
Huwezi kosa vyote mzeya. Wengine wanatembelea v8 sie tunatanya na mbususu za waremboWauza Chips,Bodaboda, Wauza genge plus wenye maduka uswahili wana wanyoosha mabinti kisawasawa.
Wanawatoa mno kumbe wanawachezeaTatizo wanaweweseka na mabishoo wa kuuza nao sura halafu wenye nia za kuoa wanatupotezea
Ningekuwa ni mimi ningemfanya chimbo langu la kula mbususu bila gharamaHapana mkuu nimemkaushia apambane na hali yake tu
Hii ndo mbaya kabisa yan,mtu ata kumsalimia Unakuta anakutoroka mbio😅😅Kitu ambacho yule binti hakujua, kipindi kile nilikua na pesa nyingi za kuhonga honga maana sikua na majukumu. Lakini hakunipa hata chance ya kua nae karibu alikua ananikwepa sana. Akaishia kwenda kwa mkaanga chipsi
Bora useme ww boss..Ndiyo ukweli wenyewe huo, yani kwa mfano wewe uzae na Peter halafu utake kuolewa na Kekvini hakuna kijana atakaye kubali.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Labda ulikuwa siriasi sana na ukujaribu kujenga ukaribu nae, kuna wasichana wengine ni waoga kuzoea wanaume kwa haraka haraka,au muonekano wako na muhuza chips unapishana sana. Na Mwanamke akijua una muhitaji sana lazima atasumbua na kumpata ni asilimia ndogo sana.Kitu ambacho yule binti hakujua, kipindi kile nilikua na pesa nyingi za kuhonga honga maana sikua na majukumu. Lakini hakunipa hata chance ya kua nae karibu alikua ananikwepa sana. Akaishia kwenda kwa mkaanga chipsi
Unaonekana wewe ni walewale, kama anajua kubembeleza kwanini hambembelezi huyo aliyezaa nae?Nilijaribu kumtega kumuuliza kwann kipindi kile kabla hajapigwa mimba alinikataa. Akadai tu utoto hakua anajitambua na alikua anadanganywa na wenzake. Sasa hivi anataka nimpe second chance tufanye maisha.
Mbaya sana hii 😭😭😭😭kama vp mnyandue alaf jikatae huyo maisha yashampiga kipind anauhakika wa chipsi mchana na jion hakuwa na haja ya kukutafta.
nakumbuka kipindi nimehamia kigamboni nlikua nakaa nyumba ambayo wamepanga wanafunzi nilipewa chumba na mama mmoja tunaheshimiana sana na kwakua nilishamsave kwenye kaz zake akanipa chumba bureee kabisa na niwe naangalia mazingira ya hostel yake.
Kuna dem nikawa namfuatilia wa kawaida ila alinitamanisha nimle bas nkaanza kumchombeza nkawa naomba namba hatak ila alikuja nitafta mwenyewe walipoenda likizo kurudi anaelekezwa kua anitafte akabidhi funguo hakulipa mwezi alioondoka bas akaja akanikuta hana hela na ndo wamefungua yupo yupo nkamwambia ukitaka nkusaidie we tanua nyama na tukimaliza futa namba zangu hutak pambana na hali yako dem hakua na namna nkanyandua na nkafuta namba zangu kwenye simu yake mwishoe nkamtosa kwa bi mkubwa nkamchana dogo hana hela akaondolewa hostel yy na mwenzake.