Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,287
- 6,648
- Thread starter
-
- #141
Nilishampotezea na ule mkoa nilishahama. Yupo zake mara ya mwisho nilimkuta anauza uji wa lishe masokoni na mapacha wake.usikubali kuoa mtu alikugomaga afu anakurudia hii ni dhambi kwako mwenyewe unakua umejikosea [emoji1787]
Rudi mwambie ashasikia wapi mechi inaanza 1 bilaMiaka ya 2010-2012 kuna mtaa nilikua naishi. Ilikua karibu na chuo kilichopo katika makao makuu ya nchi. Kuna siku nilikua katika misele yangu njiani nikakutana na binti pisi kali haswa alinivutia sana. Alikua mdogo mdogo hivi, shape imejitenga, tumbo flat na vichuchu saa sita. Nikajiposition vizuri nikaanza kumfukuzia.
Katika stori za hapa na pale nikamuomba namba akagoma. Jibu lake ni kwamba hakua na simu, na hapendi mawasiliano na wanaume. Mkononi alishika kasimu katochi lakini akasisitiza siyo yake na hawezi kunipa namba. Kwakuwa nilikua na nia ya kuwa naye kimapenzi na njia pakee ili nikamilishe lengo langu ni kuwa na namba yake, ikabidi nimbembeleze sana anisubiri nikimbie dukani ninunue kalamu japo nimuandikie namba yangu ili akipata simu anitafute. Akakubali huku akisisitiza nifanye haraka sana. Kweli nikamuandikia namba yangu akasepa zake.
Hakuwahi kunitafuta tena. Ikawa kila nikikutana naye njiani, ananikwepa. Akipita sehem akijua nipo anajipitisha haraka haraka kwa makusudi ili nisimuite. Nikakata tamaa nikaamua kumpotezea tu mazima na kuendelea na mishe zangu. Baada ya miezi kadhaa nikaskia kuna dogo mkaanga chipsi pale mtaani anamega. Niliumia sana.
Sasa imepita miaka nane tangu nihame ile mitaa na nilishamsahau kabisa. Juzi usiku nipo kwangu nashangaa namba ngeni inanibipu. Nikapiga upande wa pili nikasikia sauti ya kike anauliza, "Wewe ndiyo Vocal Fremitus". Nikajibu ndiyo una shida gani? Akajitambulisha lakini sikuwa namkumbuka.
Baadae akanitext, kumbukumbu ikanijia. Ananiambia amenikumbuka, anatamani tuonane. Kifupi anataka niwe mpenzi wake na amejaa mazima anataka nimuoe tena bila ya mahari. Kwasasa ana watoto wawili mapacha wana miaka minne. Anadai mzazi mwenzake haeleweki na ameitelekeza familia.
Namuonea huruma. Nimemuambia amashachelewa, ingawa bado sijaoa lakini kuzaa kwake kabla ya ndoa ameshajitia doa ila anakomaa tu. Hakati tamaa. Anapiga simu zaidi ya mara 20 sipokei. Nimeblock namba. Anatumia namba ngeni kunipigia, nikianza kuskia sauti yake namblock!
Aisee mpka nimemwonea hurumaWengi wao hawajui wanataka nini?
Mtaani kulikuwa na kazichana kutoka Kijijini kalikuja kufanya kazi za ndani na boss wake alikuwa anamjali na kumlipa vizur sanaa
Nilimfukuzia sanaa mwisho wa siku nilimpata ila kwa mashart makali sanaa yaani sawa sawa na hakuwa mpenzi wangu na wakati tulikubaliana ni wapenzi, alinipa tabu sanaa na hakuwa mpenzi wangu wa kwanza na nilikapenda sanaa , zawadi , mahitaji yote nilikuwa nampa na nikamuomba nikatoe barua kwao akakataa akanambia tuwe tu kwenye mahusiano yeye hana mpango wa kuolewa Kwa mda ule- kwenye kipindi chote hicho alinipa tunda mara moja tu na kishingo upande- nilidumu nae miaka 5 , na nililala nae mara moja tu, kuna kipindi nilichoka nikampa mkono wa kwaheri nikaendelea na harakati zangu, kidogo nikaanza kuona mambo yangu yananinyookea sijui kama hakuwa ananifanyia ushirikina yule dada, ila ni kazur hatari
baada ya kupiga chini , mwaka kama na nusu hivi sikumuonaga
Kumbe aliitwagwa kwao na kulazimishwa kuolewa huko kinguvu na jamaa nasikia alitoaga mahali kwa Baba yake bila hata kumuona binti jamaa akawa anamtesa na kumfungia ndani akirudi kazini yeye anakula tunda tu hasubuhi tena anamla akitaka kwenda kazini anamfungia demu yeye ndio alikuwa utaratibu wake nafikiri alikuwa anahofia kuwa atatoroka aliishi nae hivyo kwa muda wa mwaka mzima mpaka binti kupata ujauzito na ndio kumruhusu aende akajifungulie kwao
Baada ya kurudi kwao ndio akapata nafasi ya kuwasiliana na boss wake ndio boss akamwambia akijifungua aje mjini na mtoto wake yeye boss atamsaidia kumlea yeye na mtoto wake- ila walikubaliana atoroke kwao maana kwao walikuwa kama wamemuuza vilee Kwa jamaa
Nnavyokwambia- nimekutana nae town, alinililia barabarani sijui kama vilee amenikosea kitu gani? Akiwa na mtoto mgongoni, watu wakaanza kutujalia ndio nikambembeleza Kwa kuogopa kujaliwa na watu wengi njiani
Nikatafuta kajisehemu cha Chipsi nikamuagizia chakula na mimi pia na akaanza kunipa mkanda mzima- maisha hayaa, bahati haiji mara mbili hata ikija haiwezi fanana na bahati ya kwanza
Akawa ananiomba nimuoe bila hata ya mahali, kweli nilikuwa sina mtu lakini nilimwambia nipo kwenye mahusiano
Bila hata kumlazimisha alikuwa anakuja yeye mwenyewe na kuniomba twende gest akanipe ninachotaka, nilikuwa naenda nayeye lakini sikuwa napenda maana nilikuwa naona kama namuonea vilee coz alikuwaga kama ananisikitisha hivi ukizingatia ana mtoto japo kuwa aliakuwa amekuwa ila nilikuwa sijisikii vizur
Baadae akarudi kwao maana hakuwa anaelewana na boss wake na sijui nn! Tatzo
Tunawasiliana whatsapp
Huyo mkaanga chips sio Zero IQ kweliMiaka ya 2010-2012 kuna mtaa nilikua naishi. Ilikua karibu na chuo kilichopo katika makao makuu ya nchi. Kuna siku nilikua katika misele yangu njiani nikakutana na binti pisi kali haswa alinivutia sana. Alikua mdogo mdogo hivi, shape imejitenga, tumbo flat na vichuchu saa sita. Nikajiposition vizuri nikaanza kumfukuzia.
Katika stori za hapa na pale nikamuomba namba akagoma. Jibu lake ni kwamba hakua na simu, na hapendi mawasiliano na wanaume. Mkononi alishika kasimu katochi lakini akasisitiza siyo yake na hawezi kunipa namba. Kwakuwa nilikua na nia ya kuwa naye kimapenzi na njia pakee ili nikamilishe lengo langu ni kuwa na namba yake, ikabidi nimbembeleze sana anisubiri nikimbie dukani ninunue kalamu japo nimuandikie namba yangu ili akipata simu anitafute. Akakubali huku akisisitiza nifanye haraka sana. Kweli nikamuandikia namba yangu akasepa zake.
Hakuwahi kunitafuta tena. Ikawa kila nikikutana naye njiani, ananikwepa. Akipita sehem akijua nipo anajipitisha haraka haraka kwa makusudi ili nisimuite. Nikakata tamaa nikaamua kumpotezea tu mazima na kuendelea na mishe zangu. Baada ya miezi kadhaa nikaskia kuna dogo mkaanga chipsi pale mtaani anamega. Niliumia sana.
Sasa imepita miaka nane tangu nihame ile mitaa na nilishamsahau kabisa. Juzi usiku nipo kwangu nashangaa namba ngeni inanibipu. Nikapiga upande wa pili nikasikia sauti ya kike anauliza, "Wewe ndiyo Vocal Fremitus". Nikajibu ndiyo una shida gani? Akajitambulisha lakini sikuwa namkumbuka.
Baadae akanitext, kumbukumbu ikanijia. Ananiambia amenikumbuka, anatamani tuonane. Kifupi anataka niwe mpenzi wake na amejaa mazima anataka nimuoe tena bila ya mahari. Kwasasa ana watoto wawili mapacha wana miaka minne. Anadai mzazi mwenzake haeleweki na ameitelekeza familia.
Namuonea huruma. Nimemuambia amashachelewa, ingawa bado sijaoa lakini kuzaa kwake kabla ya ndoa ameshajitia doa ila anakomaa tu. Hakati tamaa. Anapiga simu zaidi ya mara 20 sipokei. Nimeblock namba. Anatumia namba ngeni kunipigia, nikianza kuskia sauti yake namblock!
Hahahaa hata mawazo yangu yamemfikiria Zero IQ maanake yuko hapo hapo mji wa katikati ya nchi
kama vp mnyandue alaf jikatae huyo maisha yashampiga kipind anauhakika wa chipsi mchana na jion hakuwa na haja ya kukutafta.
nakumbuka kipindi nimehamia kigamboni nlikua nakaa nyumba ambayo wamepanga wanafunzi nilipewa chumba na mama mmoja tunaheshimiana sana na kwakua nilishamsave kwenye kaz zake akanipa chumba bureee kabisa na niwe naangalia mazingira ya hostel yake.
Kuna dem nikawa namfuatilia wa kawaida ila alinitamanisha nimle bas nkaanza kumchombeza nkawa naomba namba hatak ila alikuja nitafta mwenyewe walipoenda likizo kurudi anaelekezwa kua anitafte akabidhi funguo hakulipa mwezi alioondoka bas akaja akanikuta hana hela na ndo wamefungua yupo yupo nkamwambia ukitaka nkusaidie we tanua nyama na tukimaliza futa namba zangu hutak pambana na hali yako dem hakua na namna nkanyandua na nkafuta namba zangu kwenye simu yake mwishoe nkamtosa kwa bi mkubwa nkamchana dogo hana hela akaondolewa hostel yy na mwenzake.
Ws unaonaje hapoKwahiyo hapo mjuba ukaona umetoboa
hapo sawa hongera kwa kuchukua maamuzi mazuri enjoy lifeNilishampotezea na ule mkoa nilishahama. Yupo zake mara ya mwisho nilimkuta anauza uji wa lishe masokoni na mapacha wake.
Daaah yaani huyu kakuelewa kwa kila kitu 2006 mpaka leo hii daaah kuna kipande kirefu sana.Aisee kumbe hiz mambo kila kona dah
Kuna bint ananisumbua sana sasa iv
2004-2006 nlikua nae kwenye mahusiano akaja kunipotezea mazima
Mwaka 2020 akanichek sijui no yangu iliitoa wapi yeye akiwa mwalimu wa primary kahama uko mim Nipo Moshi kwa mishe zangu, tukapima story lkn yeye alichokua anataka ni kuniona anamaongez na mie nimwambia Nipo Moshi akasema anakuja ilikua simple kwake mana ilikua ni likizo ya December
Kama utani vile dem akatua Moshi mjin mi nilikua Nipo mwanga lemben pale nikampa maelekezo akaja...
Oooh ikabid tupige stor pale na kupeana backgrounds zetu doh bint alikua keshaolewa ndoa mbili na kesha achika zote anadai mie ndo wake ninaemuwezea kwa kila kitu hakuna mwanaume anaemuelewa [emoji849]
Cha ajabu sasa bint ndoa ya kwanza Mtoto mmoja ndoa ya pil watoto wawil mmmh aisee bint alinichosha kabisa na mpaka leo hii ananisumbua na ana iman tamuoa tu
Mabint uwa wananishangaza sana kuzaa sehemu isiyoeleweka aisee swala la kuzaa ni uamuz magum sanaaa
Huwa sipendi binafsi nimle demu ambaye Hana hisia namie. Mana hawezi Nipa romance heavy,yaani kiufupi kwenye kichwa chake Hana akili ya kuwa mie nipate Raha Bali anafanya kutimiza wajibu. Na huyu hakukupenda yaani hakuwa na hisia za kimalenzyna wewe. Shida sie me huwa tunaona Kama tuna haki ya kupendwa na kila mwanamke ambaye tuna hisia naye. Ni sawa Kuna demu anakupenda hata akivua huna hisia kabisa na yeye,yaani labda ucheki eksi zeni ikiwa imesimama ndio udumbukize.dem hakua na namna nkanyandua
Umeblock namba bado anapiga tena?Miaka ya 2010-2012 kuna mtaa nilikua naishi. Ilikua karibu na chuo kilichopo katika makao makuu ya nchi. Kuna siku nilikua katika misele yangu njiani nikakutana na binti pisi kali haswa alinivutia sana. Alikua mdogo mdogo hivi, shape imejitenga, tumbo flat na vichuchu saa sita. Nikajiposition vizuri nikaanza kumfukuzia.
Katika stori za hapa na pale nikamuomba namba akagoma. Jibu lake ni kwamba hakua na simu, na hapendi mawasiliano na wanaume. Mkononi alishika kasimu katochi lakini akasisitiza siyo yake na hawezi kunipa namba. Kwakuwa nilikua na nia ya kuwa naye kimapenzi na njia pakee ili nikamilishe lengo langu ni kuwa na namba yake, ikabidi nimbembeleze sana anisubiri nikimbie dukani ninunue kalamu japo nimuandikie namba yangu ili akipata simu anitafute. Akakubali huku akisisitiza nifanye haraka sana. Kweli nikamuandikia namba yangu akasepa zake.
Hakuwahi kunitafuta tena. Ikawa kila nikikutana naye njiani, ananikwepa. Akipita sehem akijua nipo anajipitisha haraka haraka kwa makusudi ili nisimuite. Nikakata tamaa nikaamua kumpotezea tu mazima na kuendelea na mishe zangu. Baada ya miezi kadhaa nikaskia kuna dogo mkaanga chipsi pale mtaani anamega. Niliumia sana.
Sasa imepita miaka nane tangu nihame ile mitaa na nilishamsahau kabisa. Juzi usiku nipo kwangu nashangaa namba ngeni inanibipu. Nikapiga upande wa pili nikasikia sauti ya kike anauliza, "Wewe ndiyo Vocal Fremitus". Nikajibu ndiyo una shida gani? Akajitambulisha lakini sikuwa namkumbuka.
Baadae akanitext, kumbukumbu ikanijia. Ananiambia amenikumbuka, anatamani tuonane. Kifupi anataka niwe mpenzi wake na amejaa mazima anataka nimuoe tena bila ya mahari. Kwasasa ana watoto wawili mapacha wana miaka minne. Anadai mzazi mwenzake haeleweki na ameitelekeza familia.
Namuonea huruma. Nimemuambia amashachelewa, ingawa bado sijaoa lakini kuzaa kwake kabla ya ndoa ameshajitia doa ila anakomaa tu. Hakati tamaa. Anapiga simu zaidi ya mara 20 sipokei. Nimeblock namba. Anatumia namba ngeni kunipigia, nikianza kuskia sauti yake namblock!
Wasichana wakiwa wazuri huwa wanajiona malaika.Tatizo hisia za kumla sina, kila nikifikiria namna alivyokua ananiletea mapozi na walivyokua wananivimbia na yule dogo muuza chips ndio nakatika stim
Bila ndomu hapo anaukwaa livemwanamke akizaa anakua hopeless na mwepesi mno, hana ujanja kabisa, yoyote tu twende
mgonge huyo then sepa, kumbuka ndom tu
Sio kwamba alikuwa mke wa bosi kisiri siri?Wengi wao hawajui wanataka nini?
Mtaani kulikuwa na kazichana kutoka Kijijini kalikuja kufanya kazi za ndani na boss wake alikuwa anamjali na kumlipa vizur sanaa
Nilimfukuzia sanaa mwisho wa siku nilimpata ila kwa mashart makali sanaa yaani sawa sawa na hakuwa mpenzi wangu na wakati tulikubaliana ni wapenzi, alinipa tabu sanaa na hakuwa mpenzi wangu wa kwanza na nilikapenda sanaa , zawadi , mahitaji yote nilikuwa nampa na nikamuomba nikatoe barua kwao akakataa akanambia tuwe tu kwenye mahusiano yeye hana mpango wa kuolewa Kwa mda ule- kwenye kipindi chote hicho alinipa tunda mara moja tu na kishingo upande- nilidumu nae miaka 5 , na nililala nae mara moja tu, kuna kipindi nilichoka nikampa mkono wa kwaheri nikaendelea na harakati zangu, kidogo nikaanza kuona mambo yangu yananinyookea sijui kama hakuwa ananifanyia ushirikina yule dada, ila ni kazur hatari
baada ya kupiga chini , mwaka kama na nusu hivi sikumuonaga
Kumbe aliitwagwa kwao na kulazimishwa kuolewa huko kinguvu na jamaa nasikia alitoaga mahali kwa Baba yake bila hata kumuona binti jamaa akawa anamtesa na kumfungia ndani akirudi kazini yeye anakula tunda tu hasubuhi tena anamla akitaka kwenda kazini anamfungia demu yeye ndio alikuwa utaratibu wake nafikiri alikuwa anahofia kuwa atatoroka aliishi nae hivyo kwa muda wa mwaka mzima mpaka binti kupata ujauzito na ndio kumruhusu aende akajifungulie kwao
Baada ya kurudi kwao ndio akapata nafasi ya kuwasiliana na boss wake ndio boss akamwambia akijifungua aje mjini na mtoto wake yeye boss atamsaidia kumlea yeye na mtoto wake- ila walikubaliana atoroke kwao maana kwao walikuwa kama wamemuuza vilee Kwa jamaa
Nnavyokwambia- nimekutana nae town, alinililia barabarani sijui kama vilee amenikosea kitu gani? Akiwa na mtoto mgongoni, watu wakaanza kutujalia ndio nikambembeleza Kwa kuogopa kujaliwa na watu wengi njiani
Nikatafuta kajisehemu cha Chipsi nikamuagizia chakula na mimi pia na akaanza kunipa mkanda mzima- maisha hayaa, bahati haiji mara mbili hata ikija haiwezi fanana na bahati ya kwanza
Akawa ananiomba nimuoe bila hata ya mahali, kweli nilikuwa sina mtu lakini nilimwambia nipo kwenye mahusiano
Bila hata kumlazimisha alikuwa anakuja yeye mwenyewe na kuniomba twende gest akanipe ninachotaka, nilikuwa naenda nayeye lakini sikuwa napenda maana nilikuwa naona kama namuonea vilee coz alikuwaga kama ananisikitisha hivi ukizingatia ana mtoto japo kuwa aliakuwa amekuwa ila nilikuwa sijisikii vizur
Baadae akarudi kwao maana hakuwa anaelewana na boss wake na sijui nn! Tatzo
Tunawasiliana whatsapp
πππKakuona sasa yeye ndio level yako tfuta pesa ndugu waache kukudharau
Hapa alikupiga sound ya kufa mtuπ πOooh ikabid tupige stor pale na kupeana backgrounds zetu doh bint alikua keshaolewa ndoa mbili na kesha achika zote anadai mie ndo wake ninaemuwezea kwa kila kitu hakuna mwanaume anaemuelewa