GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Kwhy angekuomba 30K, ungempa. Ila 2k ni jini?Maneno yanaweza kuwa ya uongo, kuna muda inabidi uongeze uchunguzi wako. Labda angeniomba 50,000 au 30,000. Lkn 2000 kwa ule urembo kweli. Yaan ningekua na picha mngeshangaa. Plus yale marashi inaonekana alikua hajatokea mbali sana sababu yalikua makali bado na mazuri
Ulifeli wapi? Au alikua anakutisha?Hahahahahaaaa. Ati msambwanda ulokosa mwenyewe....
Yan nikisema napata mixed feelings ndo maana yake hio. Ule mzigo aisee ulikua next level kiukweli. Af mrefu wa kati kiasi
Mavazi yasikushangaze mzee yanafunika kilichopo tumboni tu, laiti matumbo yangekua na vioo ungeelewaManeno yanaweza kuwa ya uongo, kuna muda inabidi uongeze uchunguzi wako. Labda angeniomba 50,000 au 30,000. Lkn 2000 kwa ule urembo kweli. Yaan ningekua na picha mngeshangaa. Plus yale marashi inaonekana alikua hajatokea mbali sana sababu yalikua makali bado na mazuri
Au ulikua unaogopa watu wanaokuzunguka? Yeye alikua amekuelewa hakua jini wala niniYale mazingira nlokutana nae aliniogopesha tu, sijui hata fear ilitokea wp. Kipindi nipo nyuma yake nli-appreciate mzigo lkn muda wa maongezi kila kitu kikapotea kabisa akilini
Hiyo inaitwa "over expectation" mazee!Habarini mabibi na mabwana...
Nimekaa na hiki kisa natafakari mara mia mia lkn sipati jibu, naishia kupata mixed feelings tu.
Ilikua hivi, Jumamosi iliopota nilitoka zangu kwenda mazoezini mida ya saa kumi na mbili. Niko zangu nakimbia kwenye barabara ya rami, mida hio ilikua bado tupu kiasi na kwa mbele nikamuona mdada fulani hivi kavaa yale madela yanayong'aa ng'aa hivi, huwa yanakua na rangi ya njano imechanganywa na nyeusi kwa mbali. Na inaonekana alikua amelishikilia kwa mbele sababu kwa nyuma huo mzigo aiseee ulikua umejichora shape namba nane kapisa ile ya kuprint. Wowowoo imejazia balaa.
Sasa mimi nikawa bize zangu kuongeza speed nikiwa nyuma yake, yeye alikua anatembea. Ile nmefika karibu nae kama mita 3 hv akasimama akageuka nyuma kama ananisubiria. Nikashangaa kiasi lkn nilivofika usawa nae akanisimamisha, yale marashi yalikua sio ya dunia hii aisee.
Ile kunisimamisha nikamuangalia sura, mwanamke ni mzuri ana rangi ya maji ya kunde hivi. Akanisalimia nikajibu. Ila kilichofuata ndicho kikanishangaza na ndo kinachofanya nifikiria hadi sasa. Yule mwanamke alinambia "Samahani kaka, nna njaa kweli naomba unisaidie elf 2 kama unayo" Jamani sio typing error, aliniomba elf 2, (2000).
Mimi nikabaki nashangaa kama nusu dakika huku nafikiri nini hiki. Yaan ukiangalia kuanzia shape lake,, malashi yalokua yananukia pale, sura yake, lile dela lake lilivo zuri (nadhan mnayafaham haya madela, kama ya special hivi yellow na black). Akilini nikapiga hesabu haraka na kwa wale wenzangu na mimi tuliosomea Cuba na baadae Israeli nadhan mnajua sometimes hii huwa ni mitego tu aidha ya kishirikina ua kiintellijensia.
Kiukweli nikamwambia yule dada, "hapa sina hela kabisa, si unaona nimevaa nguo za mazoezi hivo sijabeba pesa" Yule mdada akajibu kwa upole kabisa "Sawa kaka angu".
Hela nilikua nayo lakini nikaogopa aidha ingekuwa ni uchawi au mambo mengine yenye madhara kwangu sababu haiwezekani mwanamke mzuri vile aniombe 2000 na kwa kukazia kabisa "ana njaa sana"
Usiku nikaingiwa na mawazo kwamba bora ningemuomba namba nimtumie kwa simu then nile kimasikhara lkn upande mwingine wa akili unanambia ningekula jini.
Vipi wadau wenzangu, mlishawahi kutana na hii scandal?
Angempa tu 2000 kwani nini na namba angechukua pia 🤣Poti njaa sio jambo la masihara ungemsaidia tu.
Kwani mapot peke yao ndiyo wanaopiga tizi la namna hiyo mabarabarani?😅😆😆😊.Poti njaa sio jambo la masihara ungemsaidia tu.
Mi nshaozea me wote nawaitaga mapoti tu.Kwani mapot peke yao ndiyo wanaopiga tizi la namna hiyo mabarabarani?😅😆😆😊.
Dunia imebadilika sana mkuu. Unatoa hio 2k unashangaa mkono unaotoka kupokea una vidole vitatu, hio trauma yake utapona lini sijui.Hiyo inaitwa "over expectation" mazee!
Mtu unamhukumu kwa wajihi wake na haiba yake, dah!
Cha kushangaza elfu mbili unaona siyo hela inayoweza kumsaidia mtu kupata mlo!
Alikueleza shida yake iliyokuwa na kipaumbele kikubwa kwa wakati huo direct, hakupenda kukutolea mlolongo wa matatizo yake mengine, alikuwa mwanamke mstaarabu na alihitaji kusaidiwa.
Hata hivyo sijapata sababu ya msingi iloyokupelekea kujishuku shuku na kujishitukia!
Kwani mjini umeingia lini kuanza kuishi mkuu?
Yaliyopita so ndweli, ganga yajayo Mkuu.Yaan hapa ndipo pananiuma, What if sikua sahihi, na kweli alikua ana njaa. Roho inaniuma sana nikifikiria hivo. Lakini wengiine ni chuma ulete chief. Hio hela inaenda kufanyiwa utaalamu huko unakua mtafutaji wa watu tu
Kwhy angekuomba 30K, ungempa. Ila 2k ni jini?
Ukikadiria hyo perfume inacost sh ngap afu awe anataka buku 2....?nakupongeza kwa kuruka huo mtego..hilo ni jiniYaan hapa ndipo pananiuma, What if sikua sahihi, na kweli alikua ana njaa. Roho inaniuma sana nikifikiria hivo. Lakini wengiine ni chuma ulete chief. Hio hela inaenda kufanyiwa utaalamu huko unakua mtafutaji wa watu tu
Habarini mabibi na mabwana...
Nimekaa na hiki kisa natafakari mara mia mia lkn sipati jibu, naishia kupata mixed feelings tu.
Ilikua hivi, Jumamosi iliopota nilitoka zangu kwenda mazoezini mida ya saa kumi na mbili. Niko zangu nakimbia kwenye barabara ya rami, mida hio ilikua bado tupu kiasi na kwa mbele nikamuona mdada fulani hivi kavaa yale madela yanayong'aa ng'aa hivi, huwa yanakua na rangi ya njano imechanganywa na nyeusi kwa mbali. Na inaonekana alikua amelishikilia kwa mbele sababu kwa nyuma huo mzigo aiseee ulikua umejichora shape namba nane kapisa ile ya kuprint. Wowowoo imejazia balaa.
Sasa mimi nikawa bize zangu kuongeza speed nikiwa nyuma yake, yeye alikua anatembea. Ile nmefika karibu nae kama mita 3 hv akasimama akageuka nyuma kama ananisubiria. Nikashangaa kiasi lkn nilivofika usawa nae akanisimamisha, yale marashi yalikua sio ya dunia hii aisee.
Ile kunisimamisha nikamuangalia sura, mwanamke ni mzuri ana rangi ya maji ya kunde hivi. Akanisalimia nikajibu. Ila kilichofuata ndicho kikanishangaza na ndo kinachofanya nifikiria hadi sasa. Yule mwanamke alinambia "Samahani kaka, nna njaa kweli naomba unisaidie elf 2 kama unayo" Jamani sio typing error, aliniomba elf 2, (2000).
Mimi nikabaki nashangaa kama nusu dakika huku nafikiri nini hiki. Yaan ukiangalia kuanzia shape lake,, malashi yalokua yananukia pale, sura yake, lile dela lake lilivo zuri (nadhan mnayafaham haya madela, kama ya special hivi yellow na black). Akilini nikapiga hesabu haraka na kwa wale wenzangu na mimi tuliosomea Cuba na baadae Israeli nadhan mnajua sometimes hii huwa ni mitego tu aidha ya kishirikina ua kiintellijensia.
Kiukweli nikamwambia yule dada, "hapa sina hela kabisa, si unaona nimevaa nguo za mazoezi hivo sijabeba pesa" Yule mdada akajibu kwa upole kabisa "Sawa kaka angu".
Hela nilikua nayo lakini nikaogopa aidha ingekuwa ni uchawi au mambo mengine yenye madhara kwangu sababu haiwezekani mwanamke mzuri vile aniombe 2000 na kwa kukazia kabisa "ana njaa sana"
Usiku nikaingiwa na mawazo kwamba bora ningemuomba namba nimtumie kwa simu then nile kimasikhara lkn upande mwingine wa akili unanambia ningekula jini.
Vipi wadau wenzangu, mlishawahi kutana na hii scandal?
Chief asante kwa somo. Ningekua nna roho mbaya conscience isingeniuma kiasi hiki kama nlivyoelezea hapo juu.Ila pamoja na story una roho mbaya wala si roho ngumu.
Pia kuna mambo ya kufikirika ya kishirikina yamekuganda kama ukoko wa uji wa mhogo.
Jiulize kwanini nadharia hasi 2 na hafifu ndo ulizipa ushindi kuzid nadharia chanya maelfu?
Na kama una elimu dunia, imekukomboa kwa mbali sana.
Wema ni wema tu.
Ubaya ni ubaya tu.
KUna raha sana katika kuwa suluhisho(positive impact).
Hekma inasema, In case of doubt, the benefit goes the right(positive) wing.
Bahat mbaya ulichagua left.
Fikiria nadharia hizi pia.
....binadam si watu wazuri(je uwe katili kwao?)
....mchumba hasomeshwi (je usimsaidie umpendae katika kusoma kwake?)
....usimhurumie kichaa (je una hakika ubaya wake ndo ulimlipa vile?)
Nakadhalika 72.
Kifupi tu ndugu kutoa au kusaidia umnufaisha zaidi mtoaji, maana hustawi ndan ya moyo kuliko mpewaji anayenufaika tu materially!