Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio unamzalilisha hata kuvaa vizuri hutaki. Kwani kimuvaa vizuri mpaka uwe Tajikistan? Vaa vizuri ndugu yangu utanadhati huficha umaskini. .Ndio ukiwa na hela uwone ndugu zako uchafu
Basi deal na familia yako mtunze mama ,mengine yaache tu unajipa presha za bureNinazo za kunitosha mimi na familia yangu
Ahaha mimi nilienda kwake mara moja tu baada ya yeye kuumwa nikasema ngoja nitoe lawama ndio nikakutana na kauli izo umevaaje ivyo mda huo nilikuwa nimevaa truck yangu na jezi nikitoka kwake niende gym nisulid home tangy atoe kauli hiyo hajawai ona sura yangu tena tunaishia kusalimiana kwa simu na mda mwingine sipikei najua hakuna cha maana anataka kuongeaNdio unamzalilisha hata kuvaa vizuri hutaki. Kwani kimuvaa vizuri mpaka uwe Tajikistan? Vaa vizuri ndugu yangu utanadhati huficha umaskini. .
Nakutabiria utakuwa Tajiri pia siku moja. .
Shem tusameheane banaUmenikela sana shem
Aiseewe jamaa unaenda kumuona mgonjwa ili utoe lawama.Ahaha mimi nilienda kwake mara moja tu baada ya yeye kuumwa nikasema ngoja nitoe lawama ndio nikakutana na kauli izo umevaaje ivyo mda huo nilikuwa nimevaa truck yangu na jezi nikitoka kwake niende gym nisulid home tangy atoe kauli hiyo hajawai ona sura yangu tena tunaishia kusalimiana kwa simu na mda mwingine sipikei najua hakuna cha maana anataka kuongea
Mimi simkubali ata kidogo ni limbukeni kuna siku mtoto wa dada yangu alimpa maji akamuuliza umetoa bombani akasema ndio unataka nihalishe akawa mkali mimi nikamuuliza ivi wewe umekulia na maji gani kama siyo hayo tangu utotoni hatujawai chemsha maji tuna kunywa ya bomba tena ya chumvi leo hii uaze kumahani acha ulimbukeni alikasilika akasepa huyu ndugu ni kichomi sanaAiseewe jamaa unaenda kumuona mgonjwa ili utoe lawama.
Kuna mavazi mengine ukiwa unaumwa alafu mtu kaja kukucheki unaona kabisa anataka ufe. Unavaa truck nyeusi na jezi nyeusi hivi kama rangi za msiba. .
Kikubwa jenga urafiki nae kama ni mfanyabiashara kisha iba maujuiz utoboe. Ukiwa na hela utaamkiwa mpaka shikamoo na watu waliokuzidi umri. .
Nina uchungu na hela Acha tu. Ila mambo mengine unapotezea akikuambia siku nyingine nguo gani usipanick wala usikaririke mwambie sina hela ya nguo naomba unipe cash nikanunue suti ili nikija kukuona niwe navaa suti. .
Sasa hata mimi huko uchagani tulikuw hatuchemshi maji tunakunyw maji ya mtoni safi ila sio sasa.Mimi simkubali ata kidogo ni limbukeni kuna siku mtoto wa dada yangu alimpa maji akamuuliza umetoa bombani akasema ndio unataka nihalishe akawa mkali mimi nikamuuliza ivi wewe umekulia na maji gani kama siyo hayo tangu utotoni hatujawai chemsha maji tuna kunywa ya bomba tena ya chumvi leo hii uaze kumahani acha ulimbukeni alikasilika akasepa huyu ndugu ni kichomi sana
No alitakiwa amuelekeze vizuri mtoto sio kwa ukali sasaiv watoto ukiwaambia waende kwake wanaguna alitakiwa aonge nae wa upoleSasa hata mimi huko uchagani tulikuw hatuchemshi maji tunakunyw maji ya mtoni safi ila sio sasa.
Unatakiw unywe maji safi na salama kwani huangalii elimu inatolewa kwenye radio na TV kila siku. Ummy mwalimu anaimba watu wanywe maji salama wewe unampaje mtu maji ambayo hayajachemshwa au kuwekew water guard?
Kwa hiyo kwa sababu utotoni alikunyw maji ya chumvi anywe tu sasa pia?
Unasikia kuhusu vijana wa hovyo? Ni kijana anayepaka dudu mate akidhani mate ni kilainishi. Hivi mate yanaweza kuwa kilainishi?No alitakiwa amuelekeze vizuri mtoto sio kwa ukali sasaiv watoto ukiwaambia waende kwake wanaguna alitakiwa aonge nae wa upole
jali mambo yako, hiyo ndiyo njia nzuri ya wewe kuishi kwa amani na kuanchana na drama za kijinga kama hiiGood morng Tanzanian
Nina shemeji yangu mke wa kaka yangu ambae alikuwa rafiki kwangu tuna shauriana mengi sana mazuri na wakati mwingine kaka yangu akimkosea bas huja kwangu kulalamika nami namtuliza nampa ushauri mzuri na kweli akifwata ana solve vizuri tu
Shida imeaza soon kuna tajiri mtoto kwenye familia yetu na muita ivyo kwasababu umri wake ni mdogo sana sasa kageuka kuwa rafiki yake na baadae ananisagia kunguni kwa ndugu yangu huyo ili aonekane mwema na haya ni baada ya yeye kulamba asali
Dogo anampa hela za nauli na mboga sasa juzi tulikutana tukapiga story baada ya muda nikamuaga nikasema nasepa na mpigia simu dogo ni msalimie ndio anaza kunipa story za shem anasema kuwa wewe unanisema vibaya
Mm bila kujiuma meno nikasema ni kweli kwani ww unajali marafiki kuliko ndugu zako mama yako kila siku analalamika kisa ww kila mtu ankulalamikia wewe unaona good
Akakata simu huyu ndugu yetu ukienda kumsalimia anataka uvae vizuri sana ukivaa kawaida kama ukimkuta na wageni hakutambulishi, aliumwaga akawa amelazwa pale agakhan mama akawa ameenda akamshushua eti umevaaje ivyo mbona ujasuka (alikuwa kasuka twende kilioni) mama hakusema kitu pale kwasababu hospital
Lakini pia ikifika hatua ndugu anamwambia nimekwama nisaidie anakuchamba kwaza na hela unaweza usipate ila rafiki akisema ako na shida chap anatuma pesa
Sasa kinacho nikela ni huyu shemeji huyu namuona kama mgombanish nisha mkataa leo morng kapiga simu nimemjibu majibu ya mkato mkato analalamika sasa
DuuhGood morng Tanzanian