Alikuwa rafiki yangu

Bro ukweli ni kuwa pesa huna then kingine huna kazi inayo ku-keep busy kiasi cha kutoweza kufatilia mambo yasiyokuhusu.
 
Ndio ukiwa na hela uwone ndugu zako uchafu
Ndio unamzalilisha hata kuvaa vizuri hutaki. Kwani kimuvaa vizuri mpaka uwe Tajikistan? Vaa vizuri ndugu yangu utanadhati huficha umaskini. .
Nakutabiria utakuwa Tajiri pia siku moja. .
 
Ndio unamzalilisha hata kuvaa vizuri hutaki. Kwani kimuvaa vizuri mpaka uwe Tajikistan? Vaa vizuri ndugu yangu utanadhati huficha umaskini. .
Nakutabiria utakuwa Tajiri pia siku moja. .
Ahaha mimi nilienda kwake mara moja tu baada ya yeye kuumwa nikasema ngoja nitoe lawama ndio nikakutana na kauli izo umevaaje ivyo mda huo nilikuwa nimevaa truck yangu na jezi nikitoka kwake niende gym nisulid home tangy atoe kauli hiyo hajawai ona sura yangu tena tunaishia kusalimiana kwa simu na mda mwingine sipikei najua hakuna cha maana anataka kuongea
 
Aiseewe jamaa unaenda kumuona mgonjwa ili utoe lawama.
Kuna mavazi mengine ukiwa unaumwa alafu mtu kaja kukucheki unaona kabisa anataka ufe. Unavaa truck nyeusi na jezi nyeusi hivi kama rangi za msiba. .
Kikubwa jenga urafiki nae kama ni mfanyabiashara kisha iba maujuiz utoboe. Ukiwa na hela utaamkiwa mpaka shikamoo na watu waliokuzidi umri. .

Nina uchungu na hela Acha tu. Ila mambo mengine unapotezea akikuambia siku nyingine nguo gani usipanick wala usikaririke mwambie sina hela ya nguo naomba unipe cash nikanunue suti ili nikija kukuona niwe navaa suti. .
 
Mimi simkubali ata kidogo ni limbukeni kuna siku mtoto wa dada yangu alimpa maji akamuuliza umetoa bombani akasema ndio unataka nihalishe akawa mkali mimi nikamuuliza ivi wewe umekulia na maji gani kama siyo hayo tangu utotoni hatujawai chemsha maji tuna kunywa ya bomba tena ya chumvi leo hii uaze kumahani acha ulimbukeni alikasilika akasepa huyu ndugu ni kichomi sana
 
Sasa hata mimi huko uchagani tulikuw hatuchemshi maji tunakunyw maji ya mtoni safi ila sio sasa.
Unatakiw unywe maji safi na salama kwani huangalii elimu inatolewa kwenye radio na TV kila siku. Ummy mwalimu anaimba watu wanywe maji salama wewe unampaje mtu maji ambayo hayajachemshwa au kuwekew water guard?

Kwa hiyo kwa sababu utotoni alikunyw maji ya chumvi anywe tu sasa pia?
 
No alitakiwa amuelekeze vizuri mtoto sio kwa ukali sasaiv watoto ukiwaambia waende kwake wanaguna alitakiwa aonge nae wa upole
 
No alitakiwa amuelekeze vizuri mtoto sio kwa ukali sasaiv watoto ukiwaambia waende kwake wanaguna alitakiwa aonge nae wa upole
Unasikia kuhusu vijana wa hovyo? Ni kijana anayepaka dudu mate akidhani mate ni kilainishi. Hivi mate yanaweza kuwa kilainishi?
Sasa mate yana magonjwa kibao yakoingia ukeni ndio maana wanapata mafangasi lukuki. .

Maisha yamebadilika ndugu yangu zingatia afya ya mwili na akili. Unahangaika na mambo ya ovyo kabisa. Tutafute hela tune matajiri ili tuheshimie. Hata mimi ninatumwa kama mtoto mdogo yote hii sina hela. .
 
jali mambo yako, hiyo ndiyo njia nzuri ya wewe kuishi kwa amani na kuanchana na drama za kijinga kama hii
 
Ulipokosea ni kukaa krb na huyo shem wako..
Shemeji ni bomu muda wowote linaweza kulipuka...
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…