Alikuwa wapi siku zote?

Ila nashukuru mume wangu mtarajiwa hata hajastuka Kwan yeye ndo aliyepiga teke akavunja mlango baada ya kitasa kugoma kufunguka
Hua tunakujaga kufungua hio milango hua hawavunji hata siku 1 wataishia mlangoni tu kuhangaika na Kitasa Ila wafungua milango yenye vitasa vibovu tupo, kwa hio hapo kwa kweli sujakuunga mkono

Uliposema "Kwan yeye ndo aliyepiga teke akavunja mlango baada ya kitasa kugoma kufunguka" kiufupi hapo ushajua kinachoenda kuendelea huko ndani km kweli aliingia kwa mlango na mateke bila kufungua Kitasa au kutulia na Kitasa mpaka kifunguke basi hapo jiandae kisaikolojia furaha yako itaishia siku ukishatoka ukumbini pale kula keki kifuatacho ni mateke ya kuvunja mlango
 
Ila nashukuru mume wangu mtarajiwa hata hajastuka Kwan yeye ndo aliyepiga teke akavunja mlango baada ya kitasa kugoma kufunguka
Ukiisubiri iive wenzio wanakula na chumvi

Iko hivi, huyu amefanikiwa kukukaza kabla ya kukuoa kwasababu hakukubaliana na ujinga wa 'nitakupa ukinioa'.

Yule hakufanikiwa kukukaza kwasababu ulipomletea hizo drama akakubaliana nazo, ukamdharau.
 
Ukute Bi harusi mtarajiwa anaumia kuwa jamaa hakumuonja, hadi anaenda kufungiwa kwenye ndoa.

Huyo mwamba akikomaa kitaalamu anakula tunda na bi harusi atakuwa na amani ya moyo. Wanawake wanashangaza sana.

____________
CC: MwanaFA - Bado Nipo Nipo
🎼Aliyelala na bibi harusi, siku moja kabla ya harusi na wala si bwana harusi, bado mnanishauri harusii?🎼
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ mwenye ujumbe wake taarifa tunayo wote humu sasa umkome mke wa mtu mtarajiwa dah.
 
Sasa ilikuwaje kumruhusu jamaa akavunja mlango...mbona yule wa mwanzo ulimkazia?! Au umejifunza kutokana na makosa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…