Alikuwa wapi siku zote?

Alikuwa wapi siku zote?

Ila nashukuru mume wangu mtarajiwa hata hajastuka Kwan yeye ndo aliyepiga teke akavunja mlango baada ya kitasa kugoma kufunguka
Hua tunakujaga kufungua hio milango hua hawavunji hata siku 1 wataishia mlangoni tu kuhangaika na Kitasa Ila wafungua milango yenye vitasa vibovu tupo, kwa hio hapo kwa kweli sujakuunga mkono

Uliposema "Kwan yeye ndo aliyepiga teke akavunja mlango baada ya kitasa kugoma kufunguka" kiufupi hapo ushajua kinachoenda kuendelea huko ndani km kweli aliingia kwa mlango na mateke bila kufungua Kitasa au kutulia na Kitasa mpaka kifunguke basi hapo jiandae kisaikolojia furaha yako itaishia siku ukishatoka ukumbini pale kula keki kifuatacho ni mateke ya kuvunja mlango
 
Ila nashukuru mume wangu mtarajiwa hata hajastuka Kwan yeye ndo aliyepiga teke akavunja mlango baada ya kitasa kugoma kufunguka
Ukiisubiri iive wenzio wanakula na chumvi

Iko hivi, huyu amefanikiwa kukukaza kabla ya kukuoa kwasababu hakukubaliana na ujinga wa 'nitakupa ukinioa'.

Yule hakufanikiwa kukukaza kwasababu ulipomletea hizo drama akakubaliana nazo, ukamdharau.
 
Ukute Bi harusi mtarajiwa anaumia kuwa jamaa hakumuonja, hadi anaenda kufungiwa kwenye ndoa.

Huyo mwamba akikomaa kitaalamu anakula tunda na bi harusi atakuwa na amani ya moyo. Wanawake wanashangaza sana.

____________
CC: MwanaFA - Bado Nipo Nipo
🎼Aliyelala na bibi harusi, siku moja kabla ya harusi na wala si bwana harusi, bado mnanishauri harusii?🎼
 
Ama kweli ibilisi wa mtu ni mtu!

Huyu mwamba anataka kuniharibia ila amechelewa kipindi Niko field hospital x yeye alikuwa intern hospital hiyo hiyo, nilitokea kumpenda sana hii ni baada ya yeye kuonesha dalili za kunipenda., Kutokana na kuwa mpweke takribani miaka 24 ikabidi nijisogeze karibu naye Ili twende sambamba!

Naam,.tulifanikiwa! tukawa tupo close nikawa naenda kwake sometimes, na outing za hapa na pale.

Nilimuweka Wazi juu ya Hali yangu yakuwa mpweke takribani miaka 24 hivyo Nikamsihi kuwa natamani haya yawe ni mahusiano yangu ya Kwanza na ya mwisho, imeant nilitaka anioea kabla ya kula tunda kapasino.

Naam, alikubali na akaniahidi atafanya hivyo ndani ya mwaka huo
Licha ya kuwa close nae ila hakuwahi kunambia nimuonjeshe mapishi yangu jambo amabalo nililipenda saana kutoka kwake.

Wakati nakaribia UE ya mwisho alipata kazi Zanzibar hospital x hivyo akawa na mbali Mimi Hali iliyopelekea mahusiano yetu kufifia Kwan alikuwa anadai mara kwa mara niende Zanzibar kumtembealea NAMI nilikaza shingo kwani nilihofia chakula changu kinaweza kuliwa kabla ya wakati.
Alivokuwa anarudi Bara alikuwa hanambii isipokuwa nilikuwa napata habari zake kupitia kwa marafiki zake na status zake.

Baada ya siku kadhaa akanambia tuachane maana siko tayari kumpa ushirikiano, na akadai ana mchumba wake hivyo nisimtafute niliumia sana kiukweli., na kilichonifanya niumie zaidi ni kwamba nilikuwa nimeshamtambulisha Hadi nyumbani ,itoshe kusema alinitia aibu!

Toka juzi ananisumbua anataka turudiane baada ya kusikia naolewa, yote Tisa kumi, alivyo mshenzi kamtumia text My future hubby kuwa et hajamalizana na Mimi akaambatanisha na picha tukiwa wote kama udhibitisho, picha zenyewe nilikuwa 3rd year hukoo. Ila nashukuru mume wangu mtarajiwa hata hajastuka Kwan yeye ndo aliyepiga teke akavunja mlango baada ya kitasa kugoma kufunguka

UNIKOME, NAJUA UPO HUMU UNASOMA HUU UZI ,NARUDIA TENA, UNIKOME.

Mpaka ifike hiyo trh 13 ntaona mengi!
😀 😀 😀 mwenye ujumbe wake taarifa tunayo wote humu sasa umkome mke wa mtu mtarajiwa dah.
 
Sasa ilikuwaje kumruhusu jamaa akavunja mlango...mbona yule wa mwanzo ulimkazia?! Au umejifunza kutokana na makosa?!
 
Back
Top Bottom