Alikuwa wapi siku zote?

Kwann huyu umempa tunda la eden kabla ya mdoa wakati yule ulimbania?
Naona hakutaka kurudia makosa ya mwanzo, na ndiyo maana huyu wa pili kapewa kabla nae hajaingia mitini kama yule wa kwanza!!
 
Nikupe hongera sana kwa kutunza bikira yako mpaka ulipofikia hatua ya kuolewa. Hata hivyo, ulipaswa kusubiri mpaka ile siku ya ndoa yenyewe ndipo uruhusu "mlango na kitasa" kivunjwe.

Kwa maelezo yako inaonekana huyo jamaa wa pili amekukula kabla hata hamjafunga ndoa, ingawa mipango ya ndoa bado ipo.

Itakuwaje kabla ya hiyo tarehe 13 huyo uliyenaye akabadili mawazo?

Inavyoonekana jamaa wa kwanza ndiye uliyempenda kutoka moyoni na huyu wa pili, well, ni sababu tu amekukuta katika frustrations za kuumizwa basi ukaona si mbaya kupata kichaka cha kujifichia. Huyu jamaa wa pili ni kama umbrella when it rains.

You don't walk with an umbrella when there is no rain. Mvua ikiisha mwavuli hauna kazi. If you know you know.

Jamaa wa kwanza bado unampenda kutoka moyoni. Na atakaa moyoni mwako maisha yako yote. Unaweza usiwe na raha katika ndoa yako mpya. Ulipaswa kumsamaehe, ungempa nafasi nyingine, labda angeelewa na kukuoa.

Anyways, tayari umeshafanya maamuzi yako, lakini, umechemka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijui kama unajua wewe ndo tatizo ila sio jamaa.....trust hata huyo uliyenaye kakubali kukuoa kwasababu tu umempa mzigo kwanza....amna mwanaume karne hii atakubali kuoa bila kula mzigo never!
 
Sijui kama unajua wewe ndo tatizo ila sio jamaa.....trust hata huyo uliyenaye kakubali kukuoa kwasababu tu umempa mzigo kwanza....amna mwanaume karne hii atakubali kuoa bila kula mzigo never!
Kumbe!
 
Wewe bado unampenda, kwann una namba za ex wako?? Mnadiscuss vitu gani? Una mtoto naye?? Na hizo namba za mtarajiwa wako kazipata wapi??

Nikwambie hapo vunja ndoa ujitibie hisia zako kwanza ndio uolewe. Kwenye hiyo ndoa hesabu maumivu, huyo mwanaume atakeyekuoa hakuamini na anasubiri uingie akuonyeshe which is which. Yani kifupi huyo kakubali ujinga wako sababu anajua kashachukua michango ya watu na kashakula ngโ€™ombe mzima. Ila show utaiona ukiingia.
Utakuja kuniambia tunza comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ