Huna haki ya kumlaumu huyo wa kwanza kwani hujawatreat kwa usawa. Unampa huyu, unamyima yule. Hata hueleweki unachotaka kuelezea.Hata sielewi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna haki ya kumlaumu huyo wa kwanza kwani hujawatreat kwa usawa. Unampa huyu, unamyima yule. Hata hueleweki unachotaka kuelezea.Hata sielewi.
Ubaguzi tuNdio hapo Sasa uchoyo tu....
Muogope sanaaa Dear X wa mkeo.mamiii,inaonyesha dhahir bado unampenda kaka wa watu ungekuw na aman ya kutosha hapo ulipo hata usingehangaika kupandisha uzi
yaan amekuacha siku si nyng tyr umeolewa ??????????,
still unampenda .
Mbona huyu umempa kabla ya
Asingejiongeza na hapa angeachikaMbona huyu umempa kabla ya ndoa??
#YNWA
Unazingua sasa na wewe.. punguza wenge focus na maandalizi ya harusi. Wewe sio wakwanza kuolewa. Grow upAma kweli ibilisi wa mtu ni mtu!
Huyu mwamba anataka kuniharibia ila amechelewa kipindi Niko field hospital x yeye alikuwa intern hospital hiyo hiyo, nilitokea kumpenda sana hii ni baada ya yeye kuonesha dalili za kunipenda...
Amini nakwambia huyo x akikomaa tu iko siku atakula tunda la bidada kwasababu uandishi wake unaonesha bado anampenda sana tuMuogope sanaaa Dear X wa mkeo.
#YNWA
hongera kwa ustahimilivu na ujasiri, pole kwa changamoto na setbacks ulizozipitia awali...Ama kweli ibilisi wa mtu ni mtu!
Huyu mwamba anataka kuniharibia ila amechelewa kipindi Niko field hospital x yeye alikuwa intern hospital hiyo hiyo, nilitokea kumpenda sana hii ni baada ya yeye kuonesha dalili za kunipenda...
Duh ndo umeamua kuja kunisema had huku? 😔UNIKOME, NAJUA UPO HUMU UNASOMA HUU UZI ,NARUDIA TENA, UNIKOME.
Amejitunza kashindwa. Hujasoma kwamba kaufumua mlango kwa teke?Hongera kwa kujitunza
Hatari sanaAma kweli ibilisi wa mtu ni mtu!
Huyu mwamba anataka kuniharibia ila amechelewa kipindi Niko field hospital x yeye alikuwa intern hospital hiyo hiyo, nilitokea kumpenda sana hii ni baada ya yeye kuonesha dalili za kunipenda., Kutokana na kuwa mpweke takribani miaka 24 ikabidi nijisogeze karibu naye Ili twende sambamba!
Naam,.tulifanikiwa! tukawa tupo close nikawa naenda kwake sometimes, na outing za hapa na pale.
Nilimuweka Wazi juu ya Hali yangu yakuwa mpweke takribani miaka 24 hivyo Nikamsihi kuwa natamani haya yawe ni mahusiano yangu ya Kwanza na ya mwisho, imeant nilitaka anioea kabla ya kula tunda kapasino.
Naam, alikubali na akaniahidi atafanya hivyo ndani ya mwaka huo
Licha ya kuwa close nae ila hakuwahi kunambia nimuonjeshe mapishi yangu jambo amabalo nililipenda saana kutoka kwake.
Wakati nakaribia UE ya mwisho alipata kazi Zanzibar hospital x hivyo akawa na mbali Mimi Hali iliyopelekea mahusiano yetu kufifia Kwan alikuwa anadai mara kwa mara niende Zanzibar kumtembealea NAMI nilikaza shingo kwani nilihofia chakula changu kinaweza kuliwa kabla ya wakati.
Alivokuwa anarudi Bara alikuwa hanambii isipokuwa nilikuwa napata habari zake kupitia kwa marafiki zake na status zake.
Baada ya siku kadhaa akanambia tuachane maana siko tayari kumpa ushirikiano, na akadai ana mchumba wake hivyo nisimtafute niliumia sana kiukweli., na kilichonifanya niumie zaidi ni kwamba nilikuwa nimeshamtambulisha Hadi nyumbani ,itoshe kusema alinitia aibu!
Toka juzi ananisumbua anataka turudiane baada ya kusikia naolewa, yote Tisa kumi, alivyo mshenzi kamtumia text My future hubby kuwa et hajamalizana na Mimi akaambatanisha na picha tukiwa wote kama udhibitisho, picha zenyewe nilikuwa 3rd year hukoo. Ila nashukuru mume wangu mtarajiwa hata hajastuka Kwan yeye ndo aliyepiga teke akavunja mlango baada ya kitasa kugoma kufunguka
UNIKOME, NAJUA UPO HUMU UNASOMA HUU UZI ,NARUDIA TENA, UNIKOME.
Mpaka ifike hiyo trh 13 ntaona mengi!
Nimekusifu kwakujielewa na kujiamini.Ama kweli ibilisi wa mtu ni mtu!