Alimsomesha chuo, baada ya kumaliza masomo ndugu wakadai hana uwezo wa kuishi nae

Alimsomesha chuo, baada ya kumaliza masomo ndugu wakadai hana uwezo wa kuishi nae

Ni program ya kuzipa sperms muda wa kujijenga 😂
Kama hapa nna miez kadhaa sijanjunja na wala sipo kwenye hiyo challenge.
Nilijitoa mapema nilipoona haina manufaa zaidi ya kuona hujapizi siku nyingi, mwisho wa siku unajipongeza .
 
Kama hapa nna miez kadhaa sijanjunja na wala sipo kwenye hiyo challenge.
Nilijitoa mapema nilipoona haina manufaa zaidi ya kuona hujapizi siku nyingi, mwisho wa siku unajipongeza .
Ungeendelea, kuna manufaa kama wadau wake wanavyodahi
 
Kila siku watu wanapiga kelele kua mchumba hasomeshwi ila hamtaki kuskia,
Anyway
Kijana kataa ndoa
 
Sioni shida hapo, pesa ndio kikwazo cha kushindwa kumuoa recho.
Pili umri bado unamruhusu kusaka pesa na kumpata mtu sahihi kwake. Haikuwa bahati yake.
Mapenzi ni upepo yakipepea usiyafate unajizibia nafasi ya milioni wanaolilia kuwa nawe. Ile pain ni matokeo ya nyege tu na sio upendo
 
ge.nye sio nzuri hata kidogo
 
MAISHA BILA YA RACHEL

Baada ya kukimbiwa na aliyekuwa mpenzi wake Dan alikimbilia kutafuta pesa ila baada ya kuona mambo yamemshinda aling'oa nanga na kurejea kwao huko Kaskazini akidahi alikuwa akienda kwenye machimbo kutafuta pesa.

Baada ya msoto alinicheki last time nakuniambia alipata ajira zile zilizotangazwa na Serikali na alipangiwa shule moja ya Sekondari ambayo sitaitaja ila inapatikana Kasulu Kigoma.
Mwanaume ukiwa mzima wa afya mapenzi kama hayo ya Rechel yasikusumbue kabisa..wanaume jinsi umri unavyosonga ndivyo mvuto unaongezeka tofauti na wenzetu huwa wanakimbizana na muda...ikifikaga over 30 huwa na presha sana
 
Sasa hapo kwenye pesa ya boom ndo kumsomesha?, kuna ujumbe wajaribu ufikisha lakini hii title haipo sawa, kuna jinsi tunakosea kutafsiri mambo
 
Back
Top Bottom