Aliniambia ana PhD ila nikimtumia sms za kingereza hajibu

Wadau,

Kuna msichana nimempata na aliniambia anayo PHD lakini nikimtumia sms kwa lugha ya kingereza hajibu na anaweza kumaliza hata saa moja ndio akapiga na kutaka tupige stori.

Wadau hapa kuna PHD kweli?
Ana PhD ya lugha ya Kiswahili, swali jengine tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…