Aliniambia ana PhD ila nikimtumia sms za kingereza hajibu

Aliniambia ana PhD ila nikimtumia sms za kingereza hajibu

Wadau,

Kuna msichana nimempata na aliniambia anayo PHD lakini nikimtumia sms kwa lugha ya kingereza hajibu na anaweza kumaliza hata saa moja ndio akapiga na kutaka tupige stori.

Wadau hapa kuna PHD kweli?

Kwani Phd humfanya mtu awe Mwingereza? Je kama aliipatia Ujerumani, China, Spain, au Urusi?
 
Kingereza chanini ... Shida ni papuchi tu. ukishakufika kwenye sita kwa sita sidhani km utamuongelesha kingereza badala yake utaanza kuiwaza papuchi tu
 
Ha ha ha pole sana mkuu hiyo alimaanisha ana Pure Head Damage. Sio PHD uliyowaza wewe
 
Kwa shule za kata hilo linawezekana, kuna mwalimu aliwahi kutufundisha kwa muda chuoni ana masters lakin halikuwa hawezi ongea English kwa muda Wa dk 30, zaidi ya kusoma kilichoandikwa
 
Atakuwa yupo "Busy" sana na wana PHD wenzake. Wewe ni baada ya kumalizana nao ndiyo aje kwako.
 
Wadau,

Kuna msichana nimempata na aliniambia anayo PHD lakini nikimtumia sms kwa lugha ya kingereza hajibu na anaweza kumaliza hata saa moja ndio akapiga na kutaka tupige stori.

Wadau hapa kuna PHD kweli?
Hahaha
 
Back
Top Bottom