Aliniambia ana PhD ila nikimtumia sms za kingereza hajibu

Aliniambia ana PhD ila nikimtumia sms za kingereza hajibu

wadau,

kuna msichana nimempata na aliniambia anayo phd lakini nikimtumia sms kwa lugha ya kingereza hajibu na anaweza kumaliza hata saa moja ndio akapiga na kutaka tupige stori.

Wadau hapa kuna phd kweli?

ana mtu wake ambaye hataki aje akute sms ktk simu yake, simple.
 
yani huyo anajitambua mpaka raha atakuwa ana phd ya historia na hivo hataki mabo ya utumwa wa lugha na ukoloni mamboleo. Nakumbuka dr lwaitama aliwaambia wahudumu wa ndege haelewei kingereza bali waongee kiswahili tu

asante mkuu
 
za kiswahili anajibu? Asipojibu za kiswahili utasemaje? Akijibu za kiingereza ndio utaamini ana PhD? Je wewe unafikiri asipojibu sms ya kingereza atakuwa hana PhD? PhD sio kingereza, na wala PhD sio kujibu meseji.
kwa taarifa tu, Hizo meseji za kingereza hata ukimtumia std two au std seven atakujibu.Jiongeze.
 
unamuongelesha kiingereza ulimpeleka shule...pambaf ww..
 
Kwani kama hakujibu ndio kiashirizi hajui?
Pengine anaona unakosea sana anaona asikujibu ili ubadili lugha lakini huelewi!
 
Wewe nawe babako anakuita mwnaume!
wadau,

kuna msichana nimempata na aliniambia anayo phd lakini nikimtumia sms kwa lugha ya kingereza hajibu na anaweza kumaliza hata saa moja ndio akapiga na kutaka tupige stori.

Wadau hapa kuna phd kweli?
 
Mkuu! Phd hyo inabid umuulize ni phd ya nn! alaf ndo utakuwa umesolve communicashen barriers.
 
Inawezekana ikawa ya kiswahili c inatolewa pale udsm?!!!
 
Back
Top Bottom