Aliniambia ana PhD ila nikimtumia sms za kingereza hajibu

Aliniambia ana PhD ila nikimtumia sms za kingereza hajibu

Sasa ndugu mtu hujawai kumsikia ata redion, wala hujawai kusoma ata kitabu chake afu anakwambi ana Phd unakubali, kwanza ungemkuta anaendeshwa, pili ungemkuta na mavitabu ambayo hata wew chuon hujawai kuyaona, asingekosa gazeti la the guardian mkononi kama hana kimoja kati ya ivi basi ujue ana phd ya mapenzi
 
Wadau,

Kuna msichana nimempata na aliniambia anayo PHD lakini nikimtumia sms kwa lugha ya kingereza hajibu na anaweza kumaliza hata saa moja ndio akapiga na kutaka tupige stori.

Wadau hapa kuna PHD kweli?

Kha!kha!kha!,atakuwa ana PHD ya kiswahili kwahiyo Kiingereza hakipendelei.
 
Hahahaaaa..."wachina" wao hata kingereza cha kusalimia tu hawajui lakini nadhani "phd" zao mnaziona kwenye nyanja nyingi tu mfano: secta ya ujenzi, mawasiliano nk.

Kweli bhana,sisi wabongo tumekuwa watumwa sana wa wazungu,wachina wao wanaijali lugha yao na hivyo kuitumia hata ktk masomo yao,sisi utakuta mtu hajui lolote eti anajifanya anaongea kiingereza ili kuonyesha kwamba yeye ni msomi,huo ni utumwa.
 
hehehe hazbendi nishafika...


Hivi wenye PhD wote lazima wajue kimombo? Hata mjapani Kanyamavi Kayashika??

Mi kuna kadem ka Wingereza kameishia nasare skul kananitesa kwa kimombo sijapata kuona

waif BADILI TABIA njoo kipande hii.... chapchap sana. tena njoo without kabisa...
 
Phd si kama nick name siku hizi mtu yeyote anaweza kukupa alafu mapenz sio elimu elimika bradha
 
Kwani ukiwa na Ph.D ni lazima ujue kiingereza? au hamjui kuwa china kuna maprofesa wasiofahamu kabisa kiingereza?
 
Msichana ana PhD? Au alianza darasa la kwanza akiwa na mwaka mmoja?
 
Wadau,

Kuna msichana nimempata na aliniambia anayo PHD lakini nikimtumia sms kwa lugha ya kingereza hajibu na anaweza kumaliza hata saa moja ndio akapiga na kutaka tupige stori.

Wadau hapa kuna PHD kweli?

Ha ha ha hata wewe ni kushnei if you can't tell whether some one has a PhD. Mwanzishie tu stori yeyote mfano climate change, au kudondoka kwa dola au hata siasa za Tanzania. Hapo utajua kama ana dalili za PhD au laa. Kiingereza si kipimo sahihi
 
Back
Top Bottom