Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au ameichukulia Angola kwa lugha ya Kirenoteh teh teh
kwani alikwambia ana phd ya kiingereza au ipi??
isitoshe ni ya mapishi......halafu sio wote wenye vyeti tumesoma ndugu yangu Hii ndo TANZANIA.
Ni kweli kabisa mkuu,mume wangu mimi ana Phd but mara nyingi nikimwandikiaga msg za kiingereza yeye hujibu kwa kiswahili tangu tuko wachumba.Ungemwambia kuwa na wewe ni prof ndio mngeelewana. Sasa kama yeye ana phD na wewe upo chini sana, ni shida...
halafu ujue hizo Levo wanapenda sana lugha zao za nyumbani....
Angalizo; Walio na phD hawajitangazi mapema...
Inawezekana ni kweli ana phd.. Sasa inategemea phd ya mrengo gani.. Labda phd ya kunasa wanaume kama alivyokunasa ww.. Au phd ya uongopaji.n.k
wadau kuna msichana nimempata na aliniambia anaPHD lakin nikimtumia sms kwa lugha ya kingereza hajibu na anaweza kumaliza hata saa moja ndo akapiga na kutaka tupige stori.wadau hapa kuna PHD kweli?
Wadau,
Kuna msichana nimempata na aliniambia anayo PHD lakini nikimtumia sms kwa lugha ya kingereza hajibu na anaweza kumaliza hata saa moja ndio akapiga na kutaka tupige stori.
Wadau hapa kuna PHD kweli?