Aliniambia ana PhD ila nikimtumia sms za kingereza hajibu

Aliniambia ana PhD ila nikimtumia sms za kingereza hajibu

Inawezekana ulimwandikia sms yenye kingedha kibovu kiasi kwamba ukamboa ndio maana akaamua akisaidie kwa kukujibu kiswahili
 
Phd siyo lazima iwe imefanyika kwa kiingereza. Wengine wanazo za kirusi, kiarabu nk.
 
Yani uniite wewe nisikuitike? Ntathubutuje kwa mfano? Natumia simu mwaego supati notifications..... ngoja nikakutafute mwaya

Thanks, I can understand huwezi kuwa bar na laptop so umesamehewa.
Ni uzi ule wa ukimwi uliopata wachangiaji wengi
 
Wewe ulimuambia una nini kwanza tuanze na hapo kwanza.. Maana inawezekana ulianza kuongopa wewe na yeye alichofanya ni kupita mule mule ulikoanzia wewe..!
 
kasomwa lingson

Permanent Head Damage-PHD nadhani wewe ndo una matatizo. Hukuelewa hali yake kwa mujibu wa tafsiri yangu hiyo
 
Last edited by a moderator:
Ungekuwa unakihusudu sana Kiingereza basi hii thread yako ungeiandika kwa Umombo...
kasomwa lingson;12698075]wadau kuna msichana nimempata na aliniambia anaPHD lakin nikimtumia sms kwa lugha ya kingereza hajibu na anaweza kumaliza hata saa moja ndo akapiga na kutaka tupige stori.wadau hapa kuna PHD kweli?[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Ungemtumia sms ya lugha ya kichina angekujibu
 
Back
Top Bottom