Aliniambia ana PhD ila nikimtumia sms za kingereza hajibu

Aliniambia ana PhD ila nikimtumia sms za kingereza hajibu

kasomwa lingson

udomo zege kazi tatizo ni wewe ulishindwa kumuuliza PHD ya nn? Maana watu tunazo nyingi tuu na nyingi hazina vyeti so think big
 
Last edited by a moderator:
kasomwa lingson

hata ya kiswahili ni phd mkuu, au yupo busy na project hawezi jibu msg.
 
Last edited by a moderator:
wadau kuna msichana nimempata na aliniambia anaPHD lakin nikimtumia sms kwa lugha ya kingereza hajibu na anaweza kumaliza hata saa moja ndo akapiga na kutaka tupige stori.wadau hapa kuna PHD kweli?

Baada ya kusoma mara ya pili nimeelewa sasa, ana PHD hana PhD
 
Na wewe dume zima, Unakutana na demu kirahisi rahisi tu anakupanga kuwa ana PHD na wewe una Amin, Umetoka mbwinde ya wapii wewe?? Hata Hemed mbongo movie nae PHD. Ungekuwa demu wewe jamaa tungekudanda kirahisi sana.
 
Haa haaa!! Mkuu alikuwa anamaanisha kuwa ana kipilipili yaani "Poor Hair Distribution"...sasa wewe hukumuelewa!! Unakimbilia kiingereza..kwani umemsomesha wewe!!?
 
Haa haaa!! Mkuu alikuwa anamaanisha kuwa ana kipilipili yaani "Poor Hair Distribution"...sasa wewe hukumuelewa!! Unakimbilia kiingereza..kwani umemsomesha wewe!!?

Pesa Hadi Darini
 
...labda Phd ya kula denda Mkuu au ya kukata mauno, siku nyingine uwe una subira ya kuuliza maswali muhimu "Phd ya nini na ulisomea wapi?" badala ya kukurupuka.

wadau kuna msichana nimempata na aliniambia anaPHD lakin nikimtumia sms kwa lugha ya kingereza hajibu na anaweza kumaliza hata saa moja ndo akapiga na kutaka tupige stori.wadau hapa kuna PHD kweli?
 
Ni ujinga ujinga kudhani kuwa kila anayezungumza na kuandika kiingereza ni msomi.....ni ujinga kudhani kuwa lugha pekee ya kupata maarifa ni kiingereza tu.....think big
 
Isijekuwa mchumba anakurahisishia mawasiliano...maana mchumba anakuonea huruma jinsi unavyojilazimsha kutema ngeli ambayo ni broken.....na sentensi zako za kuunga unga....za senk yuu ticha........
 
Back
Top Bottom