Aliniambia ana PhD ila nikimtumia sms za kingereza hajibu

Aliniambia ana PhD ila nikimtumia sms za kingereza hajibu

Ungemwambia kuwa na wewe ni prof ndio mngeelewana. Sasa kama yeye ana phD na wewe upo chini sana, ni shida...
halafu ujue hizo Levo wanapenda sana lugha zao za nyumbani....
Angalizo; Walio na phD hawajitangazi mapema...
 
Wewe hujielewe msg ya nini sasa mtafute mkae mezani muanze kuongea hicho kiingereza na siyo msg huku umejificha hakuoni.
 
Phd...! Mmmmmhhhhh siku hizi hata watu wa street wanazo tuu but za kujipa wenyewe sio real..!
 
Thanks, I can understand huwezi kuwa bar na laptop so umesamehewa.
Ni uzi ule wa ukimwi uliopata wachangiaji wengi

Haya ngoja nikakuitike mpenzi.... (hapa lisisome lile buzi lako boss flani)
 
Labda kingereza chako cha ovyo ndiyo maana anaona unamzingua wakati unajua kiswahili
 
Pengine amekikadiria Kiingereza unachomwandikia, ameona akikujibu ki-PhD, atakupoteza tu.
 
Inawezekana kabisa akawa na PHD wala usiwe na mashaka na hilo,Kuna PHD za kusomea kitaaluma na PHd za kupewa kama za kina mengi,mrema,fenandes na mke wake wale wa agape tv,kikwete,mimi mwenyewe nina PHD hapa nilipo,ni muda tu haujafika nimtumia moderator vyeti vya PHD yangu nianze kuitwa DR. Kichwa ndio mtu, Pia kuna PHD za kujipa mwenyewe kama Geo Davie wa ngurumo ya upako, Supu ya mawe wa JF,maji marefu wa bungeni,

Kuna PHd za kughushi kama za kina somebody Henry shekifu.

Kingine, wanaosema PHd sio lazima ujue kingereza ni waongo,kwa mtanzania yeyote kua na PHD lazima ajue kingereza maana mfumo wetu wa elimu unakulazimu kujua kingereza,labda awe hakusoma hapa nchini na hakukulia hapa nchini,pia awe hakukulia wala kusoma nchi zinazozungumza kingereza,jambo ambalo sio rahisi.

Kwa mtanzania mwenye PHD kingereza ni lazima awe anakijua.
 
Hukumuelewa. Ana PhD ya mapenzi toka unyago University. Entry qualification zake zimepoa sana msingi hata usipomaliza poa tu.
 
angalizo, saa mbovu yenye probability ya kusema kweli at least mara mbili kwa siku ni ya mishale (au ile ya analog) na iwe ime simama, kama ina tembea haitakaa iseme ukweli!!

Iwe inatembea iwe imesimama, itafika wakat itasema ukwel2, hata kama ni mwakan, usikalili
 
mwambie honey i wanna send 2500 dolars is it enough for this week? asipojibu hyo ujue kweli hajui
 
Back
Top Bottom