Aliniambia yeye ni bikra, kumbe hakuna kitu

Aliniambia yeye ni bikra, kumbe hakuna kitu

Unakuwa haujampenda sasa. Ila unataka ucheze tu na akili yake umpe tamaa halafu umpotezee.
Na hii sio kwenye suala la bikra tu, watu wanadanganya hata majina, wanadanganya umri, kazi nk… wakijua hayo mahusiano hayafiki popote lakini unajikuta unaanza kumpenda kweli.
Na hii ni kwa jinsia zote.
Tatizo kwenye dunia tuliyonayo wengi hutamani badala ya kupenda.
 
Pole mkuu.
Kwenye mahusiano kuna hiki kitu.
Unapoanza mahusiano na mtu unaweza kumdanganya vitu vingi sana ukiamini siku sio nyingi utampotezea au hamtafika mbali mtaachana tu.
Lakini namna unaendelea kuwa na yule mtu unajikuta umempenda kweli na unajua ukimwambia ulimdanganya utamkosa, hii inasumbua sana.
So akaamua kuni kunionyesha kwamba hakuwa na namna zaidi ya kukubali kuwa alikuwa ana nidanganya tuu
 
💯
Unakuwa haujampenda sasa. Ila unataka ucheze tu na akili yake umpe tamaa halafu umpotezee.
Na hii sio kwenye suala la bikra tu, watu wanadanganya hata majina, wanadanganya umri, kazi nk… wakijua hayo mahusiano hayafiki popote lakini unajikuta unaanza kumpenda kweli.
Na hii ni kwa jinsia zote.
Mkuu uongo siyo mzuri kabisa..
 
Mwanangu story yako inaendana kopy na jamaa yangu hivi ki school
Sema yeye alikua na pisi kali kinyama afu nyeupeeeee

Alihangaika na yeye miaka mi4 yote

Siku asiyotegemea kbsa akapewa ale

Yaaah shemeji yetu alikua sealed kabisa!!
Ana bahati alikutana na mkweli mkuu. Mimi mtoto wa kitanga alinipeleka choo cha KIKE. Siyo poaaa kabisa inauma
 
Back
Top Bottom