SISIS
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 10,892
- 3,112
Mimi huwa nawaleteaga visa vya kweli ambavyo nimevipitia ili mjifunze Hasa mambo ya wanawake mkiambiwa wanawake ni wa kuishi nao kwa makini muwe mnaelewa
Baada ya kuhama kwenye Apartment ya zamami ambayo niliwaleteaga story kuwa kuna binti anaingiliwa hadi akawa anasumbua kwa makelele ikabidi nihame nikapata Apartment nyingine kigamboni huko nikakuta ndani wapangaji tupo watatu kila mtu anajitegemea ila kuna mambo kama ukivusha mzigo unaonekana maana tunashare Gate na parking 1
Sasa kuna Binti mmoja mule ndani ana asili Ya Singida, Kirangi ni mweupe pee kama mwarabu Alipomaliza chuo hapo kigamboni akapata bwana, akapangiwa Mule ndani Master 350,000/month na Jamaa mmoja Mwarabu, wanawaita Matajiri wa Mafuta wa kigamboni ,jamaa alimpenda Real yule binti na huduma zote akawa anapewa ikiwemo kumfungulia Duka kubwa la vipodozi hapo Kisiwani mean aliwekeza balaa
Nikawa naishi nao kwa heshima tu sina maneno na mtu nami pia nilikuwa na mchumba wangu ambae kama mambo yangeenda vizuri mwezi wa 4 nwaka huu ilikuwa ndoa ila ndio hivyo umbea ukaharibu kila kitu na sikutegemea maana sisi wanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja tumezaliwa na hiyo hali ila anaependwa ni mmoja tu
Basi mwaka jana mwezi wa 8 Tarehe 18 nakumbuka, Nikauvusha mzigo bwana mida ya asubuhi kama saa 4 hivi kuna binti nlikuwa nae mule ndani kumbe wakati naingia nae yule binti wa Mwarabu akamuona niko nae naingia nae ndani, asivyokuwa na akili akampigia simu mchumba wangu na kumwambia kuwa jamaa yako kavusha mzigo yupo ndani na mwanamke mwingine mda huu
Na ile asubuhi mwanamke wangu nlishaongea nae kwenye simu naelekea kazini ila Gafla saa 5 akaja kwa Ambush ya ajabu na aliemfungulia Geti ni yule Binti wa Mwarabu maana yake ndie aliempanga, Ikatokea vurugu ya kutisha maana yule mwanamke ni mkorofi balaa akawa analazimisha nimfungulie mlango kinguvu nikagoma,akaja upande wa Dirisha la chumbani akavunja vioo ili amuone huyo mwanamke ni nani
Kama kawaida Sheria ni moja tu ukifumaniwa lazima wa Ndani apone na asijulikane wa nnje litakalo mkuta limkute tu maana mwanamke akikufumania jua ndio imeisha hiyo, Basi nikatoka nnje kama kuuwana tuuwane tu likatokea vurugu pale majirani wote wakajaa ikabidi nimtoe nnje kwa nguvu kama simjui vile majirani ndio wakaingilia hasa wanaume wenzangu wakamtoa kwa nguvu nikapata upenyo wa ndani nikamtolea geti ya nyuma kuna jirani yangu Boda akambeba nduki ndio balaa likapoa ila yule mwanamke wangu ndio tuliachana hapo hapo maana alipovunja Dirisha alimuona mwanamke ila hakumjua kwa sura
Baada ya lile tukio ikanibidi nitafute mafundi kimya kimya watengeneze ile dirisha maana alilivunja lote nikapasuka kama 350k, Maisha yakaendelea ila baada ya hapo nikabaki na swali ni nani aliyenichoma?, baada ya kufanya uchunguzi wangu nikaja kugundua Binti ya mwarabu ndie elienichoma nikasema nimekubali hamna shida ila ipo siku kisasi kitalipwa cha muhim awe mwema tu nikaendelea na maisha yangu na mwanamke wangu tukaachana vibaya maana kwao tulishatoa Mahari na taratibu zilikuwa zinaendelea so zile Taarifa za kufumaniwa zilinizalilisha vibaya sana kwa wakwe hadi kwa familia yangu.
Kama zali juzi hapo Yule Binti wa mwarabu akauleta mzigo wake mchepuko kwa mara ya kwanza kuingiza mwanaume mule ndani nahisi alijua nimeshasahau, Nikamshuhudia kwa macho yangu jamaa kaingia na gari nissan, mida ya saaa nne usiku kabla hajashuka nikajua labda ni jamaa yake Mwarabu huenda kabadili gari leo maana huwa anakuja Na Range Rover kumbe sio yeye, alivyoshuka tu nikaona njemba ni nyingine kapokelewa vitu vyake kisha wakazama ndani
Baada ya hapo sikutaka kuhukumu kuwa yule ni mchepuko huenda labda ni ndugu yake ikabidi nipeleleze kwa yule binti mpangaji wa tatu mule ndani maaana ni shogaake ndio akanipa Data kuwa leo Hamida anavusha mzigo mean nguo zote za Jamaa yake Mwarabu na viatu kavitoa nnje Kavipelekwa kwa shoga yake amfichie maaana yake yule jamaa kaambiwa kuwa Binti hana mtu. Baada ya hiyo taarifa ndio nikajua yule mwamba ni mchepuko
Nikasema huu ndio mda sahihi kulipa kisasi, ikanibidi nifanye juu chini kumtafuta yule jamaa yake Mwarabu akawa hapatikani ikabidi nichukue boda hadi pale jamaa anapofanya kazi kampuni ya mafuta nikakuta kashatoka ila kuna mlinzi anapafaham kwake na ndio alikuwa anatoka kazini nikamwambia nakupa 30000 ya bia nipeleke kwake usiku huuu huu,nna shida ya muhim ,tukapanda boda kutoka kigamboni Darahani hapo zipo kampuni za mafuta hadi kwake Mbweni huko kufika ndio nikampata sasa.
Nikampa umbea wote na ushahidi wa video kuwa Dem wako yupo na mwamba ndani anapiga jamaa akachanganyikiwa ikabidi awashe gari turudi kigamboni,akashuhudie mwenyewe, ile kufika tu kweli akakuta Gari imepaki ndani na kuna mwamba ndani anamshuhulikia mwanamke wake kisawasawa
Ili nisijukikane kuwa nimechomesha nikabaki nnje naskilizia kitakachotokea baada ya Mwarabu kuingia ndani akagonga mlango mda ukawa haufunguliwi, baada ya kugonga mara nyingi ndio binti akaufungua yupo na taulo tu haamini kilichotokea jamaa akamwambia unaogopa nini
Ile kuingia ndani kistaharabu tu akawaambia malizeni kazi yenu alafu nguo ulizoficha kwa majirani asubuhi nizipate funguo ya nyumba hii pia unirudisie na za ofisi pia nliyokufungulia unirudishie akawaambia tu maisha mema kistaharabu yani, jamaa akatoka nnje akanipa kama laki 2, kisha akanisogeza hadi ubungo hapo nikalala Lodge kama mnakumbuka juzi niliwapa story angalia uzi uliopita
Ilivyofika asubuhi yule mwanamke akakusanya kila kilichochake akafubgasha virago akrudi kwao kondoa huko kwa sasa anakula vumbi tu hali ngumu na yule mwarabu alivyokuwa mafia na jeuri ya hela anayo,ile Master akaleta watu wakasafisha kila kitu akatoa vitu vyote akaingiza vitu vipya naona aliona kaondoa nuksi akafu akaweka vitu vipya kwa sasa naona kamleta binti mwingine Mwarabu halisi ndio anakaa hapo ndipo napoona kwanini waarabu na wahindi huwa wanalazimishwa kwao kuowa wenzao inshort waswahili hatubebeki
Wewe mtu umelipiwa master 350k kwa mwezi umefunguliwa duka la kisasa la perfume mtaji wa milioni 30 umepewa alafu ulipopangiwa unaletwa muhuni na nguo za jamaa yako unazificha kwa majirani real?
Inshort wanaume tuwe makini kwa sasa usije ukajifanya unauchungu na mpenzi utaumia
=====++
JAMBO LA MWISHO NAONA MIMI NAITWA MMBEA ILA MIMI SIO MMBEA BALI NILIAMUA KULIPA KISASI KWA NILIYOTENDEWA MAANA NILICHOMWA.MWISHO NIGOMBANA NA MCHUMBA WANGU NUSU TUUWANE TUKAACHANA
ALIYENICHOMA JUZI KALETA MCHEPUKO NDANI HIVI HATA INGEKUWA WEWE UNGEMUACHA?, MAANA HATA SHOGAAKE CHUMBA CHA 3 ANA MADANGA YAKE YANAFIKAGA HADI PALE NA SIJAWAHI MCHOMA KWA JAMAA YAKE ANAEMLIPIA KODI KWA SABABU SIO MMBEA NA HANA MAMBO YA KUPELEKA SIRI ZANGU KWA DEM WANGU,IWEJE IWE YEYE TU DEM WA MWARABU