Alinichoma nikafumaniwa na Mwanamke wangu, nimelipiza kisasi kikamilifu

Alinichoma nikafumaniwa na Mwanamke wangu, nimelipiza kisasi kikamilifu

Wanaume wa Dar eti Nimemchoma dem wa mtu kwa bwana Ake Duh huo muda sijui unaupta wapi kuhangaika na mapenzi ya watu inawezekana bado hujapata Familia ukikuwa utaacha, ila Ukiendelea hiyo tabia sio nzuri kwa Mwanaume Anayejitambua
Soma.uelewe.nyau we
 
Sasa unashindana na mwanamke [emoji81]
Kaachwa huyo anakuja mwingine na bado mwarabu atarudi Valentine’s Day na maua na iPhone ya kuombea msamaha..!! [emoji1787] pole weyee
Mwarabu kashaingiza chuma kipya
 
Back
Top Bottom