Alinifanyia kiburi nikamuonyesha ujeuri. The rest is history

I must admit...nilimtamani tu huyo gal.
Lakini bado msimamo wangu uko palepale...Sipelekeshwi kihisia.
Napenda vitu vitembee naturally..I never force a thing.
 
Safi, hawa viumbe wakizingua hakuna kuwachekea.
Dragon for Dragon.
 
Huyu dogo namwambiaga ana akili za kitoto akanikasirikia eti nimemtukana,, 😂😂😂
If you're something of an ill-mannered malcontent then we'll lurking parallel. I do hope you're not one Kapeace
 
I must admit...nilimtamani tu huyo gal.
Lakini bado msimamo wangu uko palepale...Sipelekeshwi kihisia.
Napenda vitu vitembee naturally..I never force a thing.
Wakina junior hawa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watoto wa mboga saba bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuchomeshwa mahindi kawaida sana kwa mwanaume, wewe una element za ukike.
 
Huu ni uongo mtupu.
Prejudice & Bigotry.
 
Mahaba yakikuzidia hata ukidanganywa utaendelea tu kushikilia kama chawa mwilini.
 
Mahaba yakikuzidia hata ukidanganywa utaendelea tu kushikilia kama chawa mwilini.
Mimi ni Stoic by nature so kupendwa au kupenda kwangu sio big deal. Sina hisia kwamba mtu ataniumiza moyo
 
Ukiwa mvuvi samaki akila chambo ndio part of the game.Hide and seek.Akila chambo ukisusa basi wewe sio mvuvi mahiri.Kuku anapewa mchele analiwa kwa wali.
Siku akiwa mjanja akikimbia na chambo unaacha kula kuku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…