Alinifanyia kiburi nikamuonyesha ujeuri. The rest is history

Moderator waliniumbua..

Sio Davinci ni Criston Cole 😅
Ila kiuhalisia hua namisimamo mikali juu ya wanawake. Kwqngu mwanamke ni mwanamke tu hata awe na cheo au umri gani
Mama zako lkn
 
Mama zako lkn
Nafaham hilo, nawaheshimu kwa hilo. Ila inapokuja suala la relationship hua ninamisimamo ya kikatili. Mungu ansaidie🙏
But wanawake wenyewe hupenda maamuzi ya kikatili ukiwa soft kwao utaumia sana
 
Moderator waliniumbua..

Sio Davinci ni Criston Cole 😅
Ila kiuhalisia hua namisimamo mikali juu ya wanawake. Kwqngu mwanamke ni mwanamke tu hata awe na cheo au umri gani
Uache fujo basi mkuu tangu enzi za akina Bitoz zako ni fujo fujo tu😂
 
Utamfanya nini zaidi hiyo siku utaishia kusema shikamoo dada Kapeace 😂😂😂😂
Sema what happens in Vegas stay in Vegas. Hata awe 50yrs bado kwangu mi mwanamke tu, protocol za nature lazima zifuatwe
 
Nafaham hilo, nawaheshimu kwa hilo. Ila inapokuja suala la relationship hua ninamisimamo ya kikatili. Mungu ansaidie🙏
But wanawake wenyewe hupenda maamuzi ya kikatili ukiwa soft kwao utaumia sana
Umri utarekebisha hili...umri/miaka/muda ni karakana nzuri sana...itakuchonga, tumetoka huko na sasa tuna mitazamo tofauti sana
 
Uache fujo basi mkuu tangu enzi za akina Bitoz zako ni fujo fujo tu😂
Mkuu kua mpole na mtaratibu ni upumbavu hakuna faida. Ndio maana huu uzi niliuamdika Intentionally
 
Vyote ni ubatili..
Upole ni ubatili
Utaratibu ni ubatili
Ukatikatili ni ubatili zaidi

Sasa unalipo bora...chagua mwenyewe
 
Back
Top Bottom