Alinifata Akiwa Anahisi Mke Wake Anachepuka.

Alinifata Akiwa Anahisi Mke Wake Anachepuka.

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2023
Posts
382
Reaction score
687
Au pengine hamtaki tena.

Kwa kuwa alikua hapati penzi tangu mwaka jana, akipata mpaka aombe sana…
Mke wake alikua anamkoromea sana, alikua anakuja juu mno…
Alikua anagombana na mke wake kwa vitu vidogo na vya kawaida. Ambavyo vilikua haviwagombanishi au kuleta shida…

Na kukazia hilo kuna kipindi mkewe alimuambia kuwa hana hisia naye skuizi…

… lakini katika yote hayo hakutaka kumsaliti wala kugombana na mke wake, bado alimpenda, alikua mpango naye na alitaka kufufua penzi.

Tukaongea sana kwenye simu, uzuri alikua muwazi hivyo ikawa rahisi kumsaidia.

Akanieleza shida aliyonayo na akinieleza mambo aliyowahi fanya ili afufue penzi, kama vile kumkanya, kumfundisha na kumuasa mkewe ili warudi katika hali ya kawaida/ zamani lakini wapi.
Akajaribu kumuomba/ kumfanyia mambo mbali mbali ili warudi kama zamani pia viligonga mwamba.

Ila nilipogundua shida ilipo nikamuelekeza cha kufanya, kupitia consultation call nikampa mbinu tofauti ambazo ni za kurudisha hisia za mwanamke kama anaonesha kutokua na hisia na wewe. Na cha ziada nikampa na mistari ya kumwambia ili arudishe hisia za mke wake kwake.

Uzuri alifanya nilichomwelekeza vile vile, kwa kuwa kweli alikua na hamu ya kufufua penzi…

… kuna utofauti wa kujua kitu, na kujua kitu kisha ukakifanyia kazi.

Ndani ya wiki akapata matokeo na akafurahi pamoja na mke wake.
Sasa yeye ndo kiongozi na anaendesha mahusiano vile atakavyo, mke wake ni mnyenyekevu kwake ambapo hapo awali walikua wanabishana muda mwingi na mke alikua anageuka kama mbogo…

… na zaidi anafurahia kupata penzi tena pamoja na mke wake.
Kutoka kwenye kuomba penzi, saivi mke wake anampa mwenyewe.

Kwanini nimekuambia haya?
Nimekupa stori hii kwanza kukuonesha kwamba inawezekana, hata kama ulikata tamaa ya kufufua penzi na mwanamke wako ujue inawezekana. Hata kama alikuambia sina hisia na wewe inawezekana kabisa kuzirudisha hisia zake tena.

Nimekuambia haya sababu kwa sasa inawezekana hujakalia uongozi wako vizuri ndo mana mwanamke wako anakusumbua.
Ukirudi katika nafasi yako ya kichwa/ uongozi wa mahusiano vile mwanamke wako anataka uwe, basi hatoweza jizuia kukufuata na kufanya vile utakavyo na kufurahia penzi.

Lakini ni muhimu kufanya kile ninachokuelekeza. Kifanyie kazi wala usipindishe pindishe.

Kwenye kitabu ninachokuandalia utajifunza zaidi na utaelewa jinsi ya kuutumia uongozi wako kwenye mahusiano yako.

Lakini kama una shida ya haraka karibu WhatsApp 0759505947 na tupange consultation call ya lisaa

ili uweze kufufua penzi lako na mwanamke wako sasa, ufurahie penzi na umuongoze vile utakavyo.

photo_2023-06-11_12-46-32.jpg
photo_2023-06-11_12-46-36.jpg
photo_2023-06-11_12-46-39.jpg
 
Mkuu wallpaper ya chat zako ina unyama mwingi simple

Nitumie kwa ile namba yangu ya wasapu
 
Naona jamaa yako anafosi mapenzi kwa mkewe, atapata tanu sana
 
Back
Top Bottom