Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Wanawake aisee Mungu awape hustahimilivu mkubwa sana na jicho la kuona mbali saaana, maana najua changamoto ya wanawake wanashindwa kuchagua mtu sahii wanajikuta wanachakazwa na wakware mbalimbali then wanaishiwa kutupwa au kuachwa.
Ni binti flani wa mtaani kwetu kweli nilimpenda sana na nilikua na malengo kwa sababu ni mtu wa imani yangu nilimtongoza akawa ananiona boya tu kwa sababu alikua amefungasha madharau mengiii Mimi nika mute-nikapambana na issue zangu.
Nimekutana nae juzi hapa baada ya kupoteana nae kwa miaka zaidi ya 4 nikawa namchombeza amekua mwepesi sana yuko open sio mgumu kama kipindi kile madharau na kujiona yameisha kashazalishwa home na aliokua amewaona wa maana alafu sasahivi niliekataliwa kipindi hicho ndio nimuoe kweli?
Namuonea huruma sana huyu binti maana sasahivi anaweza mkubalia mwanaume yoyote yule kisa kuoelewa.