Alinikataa kaja kunikubali baada ya kupata mtoto

Alinikataa kaja kunikubali baada ya kupata mtoto

ngotho

Senior Member
Joined
Jun 18, 2021
Posts
142
Reaction score
111
Mwaka 2012-2015 nilikuwa nchi jirani kwa mjomba wang (yaani kwao mamaangu) nikiendelea na masomo yangu..

Kulikuwepo dada mmoja.. kwa jina ngoja nimpe jina la fatuma .. for privacy.
huy mdada nilitokea kumpenda ghafla.. ilibidi nimwambie ukweli kuhusu hilo. ila alinikatalia na kunipotezea. pindi nilipomwambia kuhusu hilo swala ananichikia na kuniambia maneno yasiyofaa.. alikua mature enough.

Nilijizatiti kwa kipindi cha miaka miwili lakini sikufanikiwa kumpat.
mwaka 2015 nilimuacha huko nchini kwao nikarudi huku chini Tanzania na kuendelea na masomo yangu..
2016-2018 nilikuw nimemaliza elimu ya sekondari..o levo.

Siku moja ndani ya mwaka 2019 mwezi wa tatu. mama alikuwa ameenda katika biashara zake na bahati nzuri hakufanikiwa kurudi nyumbani .. muda ulienda ikabidi alale huko ajiandae na safari ya kurudi nyumbani kesho yake..

Alipokuwa kwenye ule mji.. alimkuta mdada mmoja mrefu mwembamba mweupe akiwa na mtoto mchanga akiwa pale anamnyonyeaha katoto kake keupe kazuri.. mama akamuulizia baba na mama wa familia ile(mji ule).. mama alizoea kuenda pale kupereka bidhaa zake pale..

Maongezi ya kujuana yaliendelea kwa dakika kadhaa.yule mdada alijitambulisha na kusema mimi naitwa fatuma .. natoka Nchi jirani.. kabila fulani..
mama akamuuliza tena.. '"unakaa wapi pale ......(mama alimuuliza sehemu ya mtaani kwao huku alikotoka).. kumbuka huko ndiko kwao mamaangu.

Mama akamuuliza tena.. umesoma shule gani pale (St Joseph's.. fatuma alijibu).. ""mmmmm.... jamani popote pale pana ndugu'" mama alisema maneno hayo baada ya kujua fatuma ni jirani yake kwa kule nchini kwao..

"" vip unamfahamu ngotho??"" mamaangu alimuuliza maana shule niliopelekwa ndo alisomea pia huyo fatuma..(yaani tumesoma shule moja)
"" ndiyo namfahamu, yeye ndo alikuwa akiongoza darasani kila mara, alikuwa mtulivu sana yule mkaka"" fatuma alijibu.
""mimi ndo mamaake ngotho""
mshangao ulikuw mkubwa sana baada ya fatuma kusikia swala hilo (mimi ndo maaamake)

Kesho yake kwenye saa nne asubuhi.. mama akanipigiia simu.. akaniuliza kama namfahamu fatuma. Nikamuuliza (fatuma gani unaongelea mama??) mama akampa simu .. sikuamini mpaka pale nilipoisikia sauti yake na kunikumbusha mambo ya nyuma ikiwemo kuhusu ..nilivokuwa naongoza darasani.

Kuanzia hapo mazungumzo yalipamba moto, kwan nilikuwa nikikumbuka uzuri wake kipindi tunasom, nikijua bado yupo vilevile. siku baada ya siku tuliwasiliana .

Ulipofika mwezi wa saba 2019 . nilisitisha mawasiliano kwa sababu niliingia shuleni na kuanza elimu ya advance.. naye akarudi kwao.. nchini kwao. .hapo tayari nishajua ana mtoto .. tena ni wa kike ndani ya miaka miwili hatuongei wala nini..
mwaka huu mwezi wa tano baada ya kumaliza shule.. kidato cha sita ..
nikaja huku dareselam kwa mjomba..

Tarehe 22/7/2021. ilikuwa saa moja jioni. nikaona namba ngeni ikipiga..
nilipokea ile simu na kutulia bila kuongea.. naye alitulia bila kupiga ""ellow"" kwa sekunde kama kumi na tano.
nikakata samu.. akapiga tena .. nilivopokea akaanza kufkoka..( we mbona unapokea simu ya halafu huongei??) daah.. nikasikia sauti ta kike.. nikasema..
samahani dada.. namba ngeni naomba ujitambulishe..

Alijibu kwaakasema ""Mungu akipanga binadamu hawezi kupangua"" alijibu kwa maneno hayo akataj jina lake kwa kuhesabu herufi za jina lake.. ""FA
TU MA""

Ndugu zangu nilifirahi hasa pale aliponiambia et yupo dareselam. .. kuna shule ya mtu binafsi amepata fursa ya kufundisha hapo...

Huyu mdada ananipenda kweli .. yaan kweli..
cha kushangaza ananiambia kuhusu uchumba .. et ananiomba msamaha kwa kunikatalia miaka ya(2012-2014) akijitetea eti bado hakuwa mature to engage kwenye mahusiano..

Lakini kwa sasa ana mtoto mmoja japo amemuacha huko kwao ana bibi yake..
wiki iliyopita aliniuliza kuhusu mamaang.. (vip my, mama hajambo? Naomba namba zake nimsalimie mamaang huyo.) bila shaka nilimpa na waliongea.
juzi jumamosi akaniuliza..
( vip mpenzi wangu.. mama anajua nini kuhusu mimi na wewe??)?

Wakuu.. huyu mdada yupo tayari kukutana na mimi muda wowote.. maana kilani ninachomwambiA hajawahi kukataa..
wiki iliyopita nilimwambia tukutane weekend, alikubali kwa roho safi ila cha ajabu pesa ilinipiga chenga maana tunakaa mbali kidogo hapa dareselam..

Ukiangalia, ndo kwanza naingia chuo mwezi wa kumi mwaka huu.. najiuliza vip baada ya miaka mitatu c atakuwa mmama kabisa??

Yeye anasema tuvumiliane maana amekubali kunivumilia mpaka nimalize chuo.. yaani mpaka 2024.
anasema et nimwambie mamaangu et yule mtoto ni wangu ili ikitokea tumeoana.. taarifa isijulikane mno.
wakuu naombeni ushauri juu ya huyu mdada..
natanguliza shukran..
 
Hadi namaliza kusoma nimegundua huyo dada amekuzidi uwezo wa kufikiri mara mbili au tatu zaidi yako. Shida yako ni kumuoa huyo dada au shida yako ni kuloweka utambi wako?

Unaambiwa ukubali kuwa mtoto ni wako unajua madhara yake kwenye familia yako siku ikija kubainika uliwadanganya, utaonekana wazi kuwa UMEOLEWA wewe.

Unataka kuloweka utambi au KUOA?
 
mwaka 2012-2015 nilikuwa nchi jirani kwa mjomba wang (yaani kwao mamaangu) nikiendelea na masomo yangu.. kulikuwepo dada mmoja.. kwa jina ngoja nimpe jina la fatuma .. for privacy.
huy mdada nilitokea kumpenda ghafla.. ilibidi nimwambie ukweli kuhusu hilo. ila alinikatalia na kunipotezea. pindi nilipomwambia kuhusu hilo swala a
Acha upuuzi piga sepa zako!, Et awe mtoto wako afu akija baba Ake, mama ako uliyemdanganya utamwambiaje?
Kama alikukataa kipindi kile bas na baadae tena atakukataa tena Kwa aibu kubwa
 
Hadi namaliza kusoma nimegundua huyo dada amekuzidi uwezo wa kufikiri mara mbili au tatu zaidi yako. Shida yako ni kumuoa huyo dada au shida yako ni kuloweka utambi wako?

Unaambiwa ukubali kuwa mtoto ni wako unajua madhara yake kwenye familia yako siku ikija kubainika uliwadanganya, utaonekana wazi kuwa UMEOLEWA wewe.

Unataka kuloweka utambi au KUOA?
Duu..
 
Acha upuuzi piga sepa zako!, Et awe mtoto wako afu akija baba Ake, mama ako uliyemdanganya utamwambiaje?
Kama alikukataa kipindi kile bas na baadae tena atakukataa tena Kwa aibu kubwa
Asante bosi.. ila nilipomuuliza kuhusu baba wa mtoto.. aliniambia et ameshaoa na mpaka sasa ana familia..
 
Uwamuz unao ww mwenyewe.
Kuna kuficha aibu na kuna upendo wa kweli, kwa binadamu linapokuja swala la mahusiano ni ngumu kutofautisha dhamira zao.
Usiwahamini wanaosema single mother ni hatari wala usiwahamini wanaosema kuna mapenz ya kwel kwa single mothers.

NAHISI UMENIELEWA
 
Nimekuuliza unataka kuoa au kuloweka utambi? Hiyo duu yako ingekuwa jibu ungebaki nayo huko na ufanye maamuzi bila kuhitaji ushauri.
bosi ila mimi sina mpango wa kumuoa maana najua hadi namaliza Chuo atakuwa amenizidi mbali sana..
ila yeye kaninogeshea mapenzi.. yaani..
 
asante bosi.. ila nilipomuuliza kuhusu baba wa mtoto.. aliniambia et ameshaoa na mpaka sasa ana familia..
Hujawahi sikia damu ni nzito kuliko maji, Hata mkihamia Afghanistan akiamua kuja kufwata mtoto wake atakuja tuu na hutaweza kumzuia, Cha msingi temana nae kama alivyokukaushia wewe
 
Hujawahi sikia damu ni nzito kuliko maji, Hata mkihamia Afghanistan akiamua kuja kufwata mtoto wake atakuja tuu na hutaweza kumzuia, Cha msingi temana nae kama alivyokukaushia wewe
sawa mkuu wangu.. nimekuelewa..
ila nitamgegeda kidg
 
Inaonekana una utoto mwingi. Kukuzidi mbali kitu gani?
sio utoto bosi.. si unaelewa tu wanawake hawa.. kumbuka kule nchini kwao nimesoma nae toka class five 2011 mpaka class eight 2014. ivi ni kweli kuoana
 
Back
Top Bottom