Alinikataa kaja kunikubali baada ya kupata mtoto

sio utoto bosi.. si unaelewa tu wanawake hawa.. kumbuka kule nchini kwao nimesoma nae toka class five 2011 mpaka class eight 2014. ivi ni kweli kuoana
Kwan hapo tatizo lipo wapi? Status ya elim sio kigezo cha kukuzuia ww kuoana nae labda ungesema tabia na mienendo yake
 
Kwa ushauri wangu Sasa, dogo huyo mwanamke achana nae Wala usigonge kwa sababu alikukataa kipnd amenona Sasa ana majukum ya mtoto anataka umsaidie kulea,alikutosa kile kipnd inamaana Sasa hivi umekua handsome mpaka akupende Kuna kitu sio bure hao viumbe hawasogeagi kiboya,paamoja na kuongoza darasan lakin huyo manzi anakuzdi uwelewa Kama anakuambia akupe mtoto wakati hata k hujawahi kupga huko si kuonwa mjinga,usikubali huo ujinga utakuja kudhalililka halafu atasepa kwa wengine,tuishi nao kwa akili,
 
daaa! unaelekea kununua shamba lenye mgogoro
 
Nakumbuka mwaka fulani nilikua nasoma chuo kimoja hapa nchini, nilimpenda msichana mmoja sana tumpe jina (Mia), bahati mbaya nilisotea mno akawa ananipiga chenga mara hivi mara vile hata tunda sikuwahi kupewa, basi bwana yeye akaamua kwenda kujiendeleza kimasomo huko dar, akakutana na mtoto wa askofu maarufu sana akalaghaiwa akaliwa tunda kimasihara,wakati huo mimi nipo kagera nafanya kazi, baada ya huyo sharobaro kujua amemjaza mimba akamwambia mia atoe hiyo mimba, la kusikitisha zaidi hata baba wa huyo kijana (Askofu) alimfuata mia na kumshauri atoe maana italeta aibu kanisani kwake, baada ya kumsonga sana na hofu juu ya Mama yake ambaye ni mlokole sana, Mia akaamua kutoroka na kwenda Tabora kulea mtoto wake, siku moja naona mtu ananitext facebook,

Cut story short, ni hivi alitaka turudiane, bila kupepesa macho nilikataa maana kama alinipenda kweli angenikubali tangu mwanzo, siyo sahivi nije kuwa baba wa mtoto haramu...
 
Hebu muonane kwanza na mjuane vizuri, huo uchumba wa kuongea kwenye simu ni wa kwenye tamthilia za kifilipino tu, mziache hukohuko. Pia una mpango gani wa maisha baada ya form six?
 
Anajua we ni lijinga ndo maana anakupanga
Mafara kama nyie ndo waga mnaumizwa kwenye mapenzi
 
Dogo soma kwanza acha huo ujinga.
 
Inakua " hakuna namna" alikotarajia kumebuma Sasa no way
 
Sio kuonwa mjinga mpaka hapo ni mjinga unapewaje mtoto wakati k hujaiona. Dogo ana dreem. Amka uje kwenye real kife
 
Wewe Dogo umezidiwa akili sna na uyo mwanamke

Hapa yatakua yanaingilia sikio la kulia na kutokea kushoto

Yani wew akili itakukaa sawa ukipigwa tukio tu

Ni stage ya ukuaji
 
Huyo bimdada kakuzidi vingi, kwanza uwiano wa umri wenu sio saizi yako! Mkeo wa saizi yako ni mwanafunzi aliyekuwa la kwanza wakati wewe ukiwa STD VII, Huyo wa kusoma nae darasa moja kishakupita mbali!
Waulize waliooa Classmates watakwambia!
Pia kulingana na mazingira yako ya uanafunzi ikiwa hata chuo tu bado hujaanza, nakushauri piga kwanza kitabu huyo mwache aende zake, kama una usongo nae sana kwamba wataka kutest ladha, basi fanya hivyo lakini kumbuka aonjaye asali huchonga mzinga!
Athari zake utaanza kuziona utakampatia ujauzito, waweza jikuta katika stress ambazo ungeweza kabisa kuziepuka!
Kusoma huku unatumikia familia na tena mtu mwenyewe wewe bado ni tegemezi unajitakia taabu ufaulu hafifu wa kununua kwa bei chee!
 
Dogo, hebu nenda kwanza usome na umalize chuo, utafute kazi na kupata hela zako.

Kama ni mapenzi ndio kwanza unaenda kuyaanza.

Chuo kuna watoto visu kweli kweli, na watakupenda saana tu, na huyo Mmama utamsahau ndan ya miez 2, ya nini kuingia maagano ambayo utajutia?!!,.

Nikuambie tu ukweli.

Nikiwa kama ww nilikuwa sina hata girlfriend , sembuse ww unataka kupewa mke na mtot kabisaa, he??.

Hebu tuliza akili.

NB; wanaoshauri ule mbususu , ndio utajuta kabisaa maana utabambikiwa either mtoto au hela ya boom mgawane na huyo mdada.

Usiguse mbususu yake kamwe.

Ni hayo tu
 
Yaani umekosa majina ya kuigiza hadi ukatumia jina langu?Unahitaji viboko. Well, my advice is very clear. Nenda shule. Kama ukiona unawashwawashwa basi Muombe Mungu akupe mke na uoe. Acha zinaa. Wewe bado una ujinga wa utoto. Nevertheless, single mothers ni akina dada ambao walifanya ngono bila condom huku wakiwa kwenye siku hatari. Mtu pekee wa kumyooshea kidole single mother ni yule ambaye ni bikra, aliolewa na bikra, au bikra yake ilitolewa kwa kubakwa na wabakaji.
 
Ndio maana siku hizi vijana wanaisha mafupi Sana,Mambo madogo Kama haya wanashindwa kuyapambanua.
Huyo mwanamke Ni hatari kwa uhai wako achana nae.
 
Baada ya kusoma thread hii

Naomba kujua umri wako
 
Yeye anasema tuvumiliane maana amekubali kunivumilia mpaka nimalize chuo.. yaani mpaka 2024.

Dogo nenda kajichanganye na mabinti wa chuo. Kaka zako senior-bachelors lakini hatutaki single-mothers wa aina hiyo.

Chuo huko tafuta katoto kazuri muyajenge.
 
Hawa wanafunz wanatoroka vipindi vya jioni na tuttion wanaingia JF na kutupostia utoto humu, kuna sababu ya JF kuanza kufyeka watu ambao wanaarbu dhana ya Great thinkers[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Mwaka 2012-2015 nilikuwa nchi jirani kwa mjomba wang (yaani kwao mamaangu) nikiendelea na masomo yangu..

Kulikuwepo dada mmoja.. kwa jina ngoja nimpe jina la fatuma .. for privacy.
huy mdada
Kijana wa Dareselam umesoma comb gani huko advance?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…