Alinimbia eti mwanamke halazimishwi, sasa naye yamemkuta

Alinimbia eti mwanamke halazimishwi, sasa naye yamemkuta

Kwahyo unataka tusiseme kwamba Mwanaume kulilia mapenzi ni upotevu wa muda na pia kidume kulilia mapenzi ni Kadi ya Mualiko wa Umasikini.....!?

Unatuziba mdomo kisiasa kwa kigezo cha "hayajatukuta".
 
Yanauma kwa wapuuzi puuzi tu.

Mwanaume unaejielewa huwezi kuumizwa na mapenzi
 
ni kama huu mkasa wa mwanza unaoendelea hapa,.

kuna watu wanasema mwanamke aakikukosea piga chini ila siku akiwa kwenye situation kama hiyo anaweza maanya maamuzi tofauti kabisa.
 
Kuna watu wana vituko kabisa. Yaani Kuna Jamaa mmoja tulikutane naye hapa Hapa JF baada ya kuomba msaada jinsi gani Ninaweza kurudisha ex wangu. Jamaa alinifata inbox kunipa ushauri eti mwanamke halazimishwi. Eti achana naye

Dah nikaona Huyu Jamaa anafaa saana kuwa rafiki yangu Kweli tulikwenda mpaka Whatsapp tukawa marafiki. Cha ajabu Jamaa siku hizi ananiomba ushauri eti yeye Na mpenzi wake mausiano yamepata pacha Sasa Jamaa anajaribu kulazimisha mtoto eti mtoto arudi lakini demu kagoma ndo nimekuja kutambua dah Kuna watu ambao wanajiamini mbele za watu ila wakiwa ndani wanalia kama watoto wadogo.

I'm sorry ndugu yangu sijataja jina lako HAPA ila najua upo nataka hii iwe Funzo kwa wengine mapenzi yanauma bwana.
Ukaona haitoshi Hadi uanzishe Uzi
 
Fuata ushauri usifuate matendo kenge wew siku nyingne tutaogopa kukushaur maana utataka tuwe lolimodo wako utufuatilie kwa kila jambo, hata hivyo shukuru uo ushaur jamaa alikupa umekuponya or otherwise tungesikia una kesi ya kuuwa sababu ya kuforce love
 
Hii nidyo maana ya ule msemo wanaosema akili zakuambiwa changanya na zako take what it good for u
 
Kuna watu wana vituko kabisa. Yaani Kuna Jamaa mmoja tulikutane naye hapa Hapa JF baada ya kuomba msaada jinsi gani Ninaweza kurudisha ex wangu. Jamaa alinifata inbox kunipa ushauri eti mwanamke halazimishwi. Eti achana naye

Dah nikaona Huyu Jamaa anafaa saana kuwa rafiki yangu Kweli tulikwenda mpaka Whatsapp tukawa marafiki. Cha ajabu Jamaa siku hizi ananiomba ushauri eti yeye Na mpenzi wake mausiano yamepata pacha Sasa Jamaa anajaribu kulazimisha mtoto eti mtoto arudi lakini demu kagoma ndo nimekuja kutambua dah Kuna watu ambao wanajiamini mbele za watu ila wakiwa ndani wanalia kama watoto wadogo.

I'm sorry ndugu yangu sijataja jina lako HAPA ila najua upo nataka hii iwe Funzo kwa wengine mapenzi yanauma bwana.
Hahaha
 
😅😅😅mapenzi hatar sana we acha eti kumove on

Kuna jamaa kipind tuko chuo mwaka wa tatu alisikia demu wake kaolewa maana alikuwa mtaani jmaa tulimkandia nachat nae ananitumia viemojs vya kucheka kwamba hana mpango nae eti nishamove on

Wiki kadhaa mbele watu wamevunja mlango alikuwa anataka kujinyonga usia kashaandika yule demu ndo tatizo kwa nn amuache
Hahaha
 
Back
Top Bottom