Alinimbia eti mwanamke halazimishwi, sasa naye yamemkuta

Kwahyo unataka tusiseme kwamba Mwanaume kulilia mapenzi ni upotevu wa muda na pia kidume kulilia mapenzi ni Kadi ya Mualiko wa Umasikini.....!?

Unatuziba mdomo kisiasa kwa kigezo cha "hayajatukuta".
 
Yanauma kwa wapuuzi puuzi tu.

Mwanaume unaejielewa huwezi kuumizwa na mapenzi
 
ni kama huu mkasa wa mwanza unaoendelea hapa,.

kuna watu wanasema mwanamke aakikukosea piga chini ila siku akiwa kwenye situation kama hiyo anaweza maanya maamuzi tofauti kabisa.
 
Ukaona haitoshi Hadi uanzishe Uzi
 
Fuata ushauri usifuate matendo kenge wew siku nyingne tutaogopa kukushaur maana utataka tuwe lolimodo wako utufuatilie kwa kila jambo, hata hivyo shukuru uo ushaur jamaa alikupa umekuponya or otherwise tungesikia una kesi ya kuuwa sababu ya kuforce love
 
Hii nidyo maana ya ule msemo wanaosema akili zakuambiwa changanya na zako take what it good for u
 
Hahaha
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…