Alinipa namba tunachat ila Kila nikimpanga tukutane analeta dharula

Alinipa namba tunachat ila Kila nikimpanga tukutane analeta dharula

Huo ushauri wa mlioko mjini..ebu toa ushauri kwa tulioko vijijini na pisi zetu za kienyeji.

#MaendeleoHayanaChama
Sijawahi kuishi hayo mazingira kwahiyo sina uelewa huwa wanafanyaje huko. Lakini process ni zile zile mtoe sehemu tofauti na mtaani sema huko mtaenda wapi sijui dah[emoji3].
Lakini kama anakupenda atakuja popote.
 
Ndugu zangu Kuna mwanamke nimechukua namba yake wa mtaani kwetu tunachat fresh ila nikimualbia aje namaongezi anagoma Sasa sijajua huyu ananitaka au anitaki ila nikipishana naye njiani ananionea aibu akiwa na wenzake ni mda Sasa naombeni mnishauri niavhane. Au ataingia kwenye 18 maana Kila nikimpanga tukutane analeta sababu kibao
Badili formation tumia 4-2-1-3 hii hajawahi kuiacha timu pinzani salama..!
 
Baada ya kuchukua namba,

Ela ya Nauli ulimpatia au unataka aje kwa Nauli yake?

Uhakika wa kula mtakapokutana upo au utaagiza bill uingie mitini?

Unapowasiliana nae Kuna namna yoyote ile umemhakikishia security yake?

Kwasasa Asikudanganye mtu,
Mapenz bila pesa utapoteza tu muda
Kama unampenda kweli, jiongeze mkuu

wahenga husema,
MKONO MTUPU HAULAMBWI,

Wanawake wazuri wanapenda security,
Kwako haji,ila Kuna sehem anaenda bila hata Kuitwa.

Mwanamke wa kuja bure bure labda upate aliye polygon,desperate sana na asiye vutia machoni kwa Wanaume wengine.

MAHUSIANO NI COMPETITION,

BILA PESA WANAWAKE WAZUR UTAISHIA KUWAITA "SHEMEJ"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom