Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Hivi ni lazima umwambie njoo tuonane sehemu fulani nina mazungumzo na wewe? Hapo lazima ashajua lazima uwe na lugha laini laini kidogo...umchombeze mtoto weekens hii twenzetu tukapige misele...atauliza wapi..unamwambia sehemu sehemu amazing...😀😀😀 lazima aingie kingi...