Alinipa namba tunachat ila Kila nikimpanga tukutane analeta dharula

Huo ushauri wa mlioko mjini..ebu toa ushauri kwa tulioko vijijini na pisi zetu za kienyeji.

#MaendeleoHayanaChama
Sijawahi kuishi hayo mazingira kwahiyo sina uelewa huwa wanafanyaje huko. Lakini process ni zile zile mtoe sehemu tofauti na mtaani sema huko mtaenda wapi sijui dah[emoji3].
Lakini kama anakupenda atakuja popote.
 
Badili formation tumia 4-2-1-3 hii hajawahi kuiacha timu pinzani salama..!
 
Baada ya kuchukua namba,

Ela ya Nauli ulimpatia au unataka aje kwa Nauli yake?

Uhakika wa kula mtakapokutana upo au utaagiza bill uingie mitini?

Unapowasiliana nae Kuna namna yoyote ile umemhakikishia security yake?

Kwasasa Asikudanganye mtu,
Mapenz bila pesa utapoteza tu muda
Kama unampenda kweli, jiongeze mkuu

wahenga husema,
MKONO MTUPU HAULAMBWI,

Wanawake wazuri wanapenda security,
Kwako haji,ila Kuna sehem anaenda bila hata Kuitwa.

Mwanamke wa kuja bure bure labda upate aliye polygon,desperate sana na asiye vutia machoni kwa Wanaume wengine.

MAHUSIANO NI COMPETITION,

BILA PESA WANAWAKE WAZUR UTAISHIA KUWAITA "SHEMEJ"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
izi IDs, basi tu, tangu ijulikane Beatrice Kamugisha alikua dume, sina hamu
🀠🀠🀠 Kuna watu wapo kikazi humu.. Kuna member mmoja humu tulikuwa wana kinoma akanivuta hadi pm kakomaa nimtumie picha nikamtumia picha za marehemu akapotea sijui anahisi alikamilisha kazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Jf usiamini mtu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijapotea mkuu
Narudi tukamilishe uwana
 
Mpeleke out for dinner au Lunch kama ni week-end, sehemu iwe tofauti na unapoishi ajiskie yuko safe then lazima umrudishe huko unakotaka ujipigie, ukishapiga FUTA NAMBA KAA KIMYA uone nani atasumbuka sasa
Daah watu mna roho mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…