Ndio uone hao pimbi tunaowaita ma crushDaah watu mna roho mbaya
Sijui wanapata faida ganiNdio uone hao pimbi tunaowaita ma crush
Mali haijaliwa nikupe namba unautani brooπ€£π€£π€£Embu nipe namba yake
Mwanamke ambae hasumbui huwa anaheshimiwa ila yule anaosumbua sana ndio huwa anapata mapigo, siwez kukutendea baya kama uko peaceSijui wanapata faida gani
Khoh! Khoh! Khoh!Yaw yaw
Ni kweli mtu msumbufu anaboa, ila ni busara kutemana nae kama unaona anazingua kuliko kumtendea jambo la kumuumiza moyo.Mwanamke ambae hasumbui huwa anaheshimiwa ila yule anaosumbua sana ndio huwa anapata mapigo, siwez kukutendea baya kama uko peace
*Kumbe na nyie mnakuwaga na ma crush hebu mtaje