Alinipeleka nyumbani kwao kama hausigel sasa anaoa mke mwingine

Omopa

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
335
Reaction score
1,466
Mimi ni binti wa miaka 27, niko kwenye mahusiano na huyu mwanaume huu ni mwaka wa tatu. Mwaka jana mwishoni mwanaume wangu aliniambia kuwa mama yake anaumwa, hivyo ananiomba niende kumsaidia. Kipindi hicho nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni moja lakini kwa mkataba. Nilimwambia niko kazini, lakini aliniomba sana na kuniambia kwamba kwa kuwa ana mpango wa kunioa, basi niache kazi kwa ajili ya kumsaidia mama yake.

Nilimwambia kuwa kama kweli yuko siriasi basi aje kwetu angalau ajitambulishe. Alikuja na rafiki yake, wakatoa kishika uchumba, na hapo ndipo nilipata nguvu ya kuacha kazi. Baada ya kuacha kazi, alinipeleka kwao, lakini kufika aliniambia kuwa kwa kuwa bado sijatambulishwa rasmi, atanitambulisaha kama binti wa kazi (housegirl) na si mpenzi wake.

Nilishangaa na kukataa kwani hayo hayakuwa makubaliano yetu, ila alinilazimisha na kuniambia kuwa kama nataka ndoa, basi nikubali. Kwani nyumbani kwao aliwaambia kuwa analeta binti wa kazi, hivyo kama atasema kuwa ni mchumba wake itakuwa ngumu kunikubali, na hivyo litakuwa mwisho wetu. Kwa kuwa tayari nilishaacha kazi na nilikuwa tayari kwao, nilikubali. Nikafika na akanitambulisha kwa mama yake na ndugu zake kama binti wa kazi.

Yeye alikaa siku mbili na kuondoka, tukawa tunaendelea kuwasiliana vizuri. Nimemuuguza mama yake mpaka mwezi uliopita ambapo alipata nafuu. Mwanaume kaanza kuniambia kuwa natakiwa kuondoka kwao haraka kwa sababu mama yake amepona, anataka nije mjini kupanga kuhusu mambo ya ndoa. Mimi nilimuambia tusubiri kidogo lakini alikataa na kuniambia niondoke kwanza.

Wakati nikiwa najiandaa kuondoka, nilisikia kuwa baba mkwe anaondoka kwenda sehemu kutoa mahari. Nilichunguza na nikajua kuwa mchumba wangu anafanya mipango ya kuoa. Nilimtafuta kumuuliza, alichonijibu ni kwamba nisikilize sana maneno ya watu, lakini nilipoongea na mama mkwe, aliniambia ni kweli kuna mwanamke anayemuoa, alikua anaongea na mimi kama binti wa kazi tu.

Mwanaume ananiambia si kweli lakini anasisitiza niondoke. Hivi sasa kaninunia, hapokei hata simu zangu. Sijui nifanyeje kaka, maana huku ukweni wananiona kama binti wa kazi, kila siku wananisifia kama mfanyakazi mzuri kumbe ni mkwe wao! Maandalizi huku ni moto kila mtu anaongelea kuhusu mchumba wangu kuoa wakati mimi haniambii kama atanioa!kama
 
Pole snaa , fanya mpango wa kuondoka tuu! maana anaweza kukufanyia timbwili baya kwaajil tu ya kukuondosha hapo.
 
Copy and pest
 
We nae umezingua.
Ulikosea ulipokubali kuacha kazi na kutambulishwa kama housegirl.
Ila ngojea,au jamaa anataka kuku suprise!??
Isije ikawa wazee wamefika kwenu kimya kimya kumbe mchumba mwenyewe ni wewe huyo huyo!?
 
Da! Pole sana maisha Yana mengi. Ukiweza njoo pm tuyajenge
 
Back
Top Bottom