Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ndio mawazo kama haya yanawatesa binti zetu sasa, hata akili hazifanyi kazi tena kama hivi.Sema mwanamke akiwa na ndoa imara na yenye Amani anapendeza hata kwa macho.
Ndoa kwa mwanamke Ina play role kubwa